Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k
Habari ndugu wana jamii forum samahani nilikuwa nauliza kama kuna mtu anayafahamu mashirika ya kilimo au ya wakulima Tanzania Naomba anitajie kwani Nina research nataka kuifanya lakini sijajua...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Oriflame has given me and so many other individuals the means to reach for our Dreams..Join my Oriflame family as we Change Lives with Oriflame (smart business) mtu yeyote anaweza akajiunga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam wakuu. Poleni na majukumu mbalimbali, mimi ni mhitimu wa chuo kikuu shahada ya biashara (Bachelor of Commerce), kwa mda wa miaka minne sasa sijafanikiwa...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau ushaur, ni bank gan yenye fixed account yenye riba kubwa?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
  • Redirect
Habarini GTs, ningeomba mwenye ufahamu ni wapi naweza kupata/kununua ng'ombe bora mbegu za kisasa wa maziwa na wa nyama kwa hapa TZ anijulishe ninataka kuanza kufuga somewhere huko rufiji...
0 Reactions
Replies
Views
WanaJF wanaohitaji majogoo ninayo 200. Mengi kama 150@15000 na mengi new 50@25000. Haya ya 25000 ni makubwa sana. Karibu tupo Bunju. Ukichukua mengi unaletewa kwa DSM.nitaatach pics later
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa mwenye kuwa na wafanyakazi wanaoweza kufanya palizi ,kuvuna(kutunza shamba kwa ujumla) anijulishe. eneo la kazi ni pwani wanahitajika wawili. simu 0768942828
0 Reactions
0 Replies
884 Views
TRANSPLANTS: Kuna aina ya mfumo wa uoteshaji ambao dunia wakoloni//wazungu kupitia vyuo vikuu mbali mbali kwao au hata hapa kwetu Africa umeuona una maana na hata kupewa kipaumbele. Aina hii ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau heshima kwenu, Nauza mitetea wa kienyeji waliofikia umri wa kutaga kwa bei ya shilingi 17000 kila mmoja. Wana maumbo makubwa na wanafaa kwa kufuga au kwa nyama. Nipo Tabata, lakini naweza...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
SICON PRINTERS GET WAY We dealing with; T-SHAT PRINTING; Screen printing & transfer PAPER PRINTING ; Brounchures bussiness cards ID Cards Flyers Posters stickers Callendar Graphics design...
0 Reactions
0 Replies
543 Views
Habari! Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbegu Za Artemesia naitashukuru sana. Niko Dar es salaam, Namba yangu ni 0654 946992. Asante
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Habari! Kama kuna mtu anaweza kunisaidia kupata Mbegu Za Artemesia naitashukuru sana. Niko Dar es salaam, Namba yangu ni 0654 946992. Asante
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kjana niliyeajiriwa kwenye kampuni moja mafuta Tanzania, lakini nimepata access ya running capital - mafuta pamoja na initial fund ya ku_run petrol station. Kwa yeyote mwenye connection...
0 Reactions
0 Replies
853 Views
Habari za mapumziko ya Pasaka Wana JF, Kwa wale wenye twakwimu embe tuwekeeni hapa ili tuweze kujua vipindi vya kilimo kila mkoa na aina ya mazao yafaayo kwa kilimo ili tuzione fursa na kuzikamata
1 Reactions
0 Replies
928 Views
IPO 800,njombe ina miaka Tisa million12 maelewana yapo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wana jf. Sijui kama hii thread lmeshawekwa au la. Ila lengo ni kutaka kujuzwa juu ya uwekezaji katika soko la hisa. Naomba kujua faida za hisa zinakuwaje, hasara zake na ni wakati gani...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana forum Nauza kiwanja changu kipo kigamboni mji mwema karibu na barabara iendayo gezaulole nikama kiwanja cha saba toka barabara kuu ya kwenda geza kin ukubwa wa sqm 350 bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hali zenu wadau wangu naitaji kwenda Thailand kununua nguo za watoto yupo anae enda au anajua maduka ya nguo za watoto ya lipo anielekeze au kama anakwenda tuongozane
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wadau wenye uzoefu na uelewa plz nisaidieni namna ya kutengeneza chakula bora cha Kware cha wik ya5 nakuendelea ili waweze taga vizuri mfululizo na mayai yenye ubora, naogopa chakula cha dukan...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Wadau hasa wale wenye idea na water pump kwa ajili ya kilimo cha umuagiliaji wa kawaida,naombeni msaada wenu juu ya hizi water pump,hasa kuhusu bei,aina na uimara wake!hitaji langu kubwa kwa pump...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom