Mashine 2 za kuoshea magari zinauzwa

Mashine 2 za kuoshea magari zinauzwa

Babu Kijiwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
4,845
Reaction score
4,776
Wakuu heshima kwenu, ninauza mashine 2 za kuoshea magari zilizofanya kazi miezi 8, zinatumia petrol, bei ni laki 8 kwa zote mbili. Nipo Mtwara mjini ni pm tufanye biashara.
 
Weka picha please. Mimi naweza chukua moja
 
Back
Top Bottom