Incubator kama hizi zinahitajika haraka!

Columbus

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Posts
2,002
Reaction score
652
Kufuatia bandiko hilo hapo chini,incubator kama hizi zinapatikana wapi?
 
Attachments

  • 1444796131850.jpg
    1444796131850.jpg
    12 KB · Views: 266
Mbezi beach ,kuelekea tegeta,kuna jamaa alinipa maelekezo
 
Kufuatia bandiko hilo hapo chini,incubator kama hizi zinapatikana wapi?

Mimi ninazo ni automatic na zinatumia umeme mdogo Ninazo za mayai 48 na 96 kwa Tsh 400,000 na 650,000.Karibu sana!!ukipenda na kubwa zaidi zipo zima hatchery within na Nina chicken cages za uwezo wa kuku 100 kwa moja kwa Tsh 600,000
 
Weka na mawasiliano yako pia eleza ulipo kilaza wewe.
We unadhani umemwandikia hayo mmeo mwenye namba yako ya simu.

Hii tabia ya kukurupuka humu jf sijui itaisha lini inakeraga mno.
 
we ndo umekurupuka sijui kwakuwa ulizaliwa kinyume na maumbile?! Nadhani hapo ulipaswa kumshaur kibingwa tu
 
Back
Top Bottom