PSYCHOLINGUIST
Member
- Oct 27, 2012
- 62
- 19
Habarini wadau. Ninaomba msaada wa mawazo kama nilivyojieleza hapo juu.
Natanguliza shukrani.
Natanguliza shukrani.
video shooting
Kama Ni mtaalamu wa Graphics Nunua mashine za ku print picha halaf anza kupiga Pasport size pamoja na Picha za kawaida huku ukisafisha mwenyewe na pia Kusafisha picha za Watu wanaoleta kutoka kwenye Sd card.
Au Fungua Website kwaajili ya Habari picha na Baada ya kuitangaza vya kutosha Omba matangazo ya Google adsense anza kuingiza Hela.
Ninaomba msaada zaidi kuhusu hilo jambo la pili hapo. Limenivutia zaidi.
Ninaomba msaada zaidi kuhusu hilo jambo la pili hapo. Limenivutia zaidi.
Sasa ili kufanikiwa si inabidi kupost umbea na shits tupu?