Je ukumbi unalipa kibiashara?

Je ukumbi unalipa kibiashara?

Sixcom

New Member
Joined
Jul 26, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Great thinkers wa Jf naombeni expirience na ushauri juu ya ukumbi mwenye uwezo wa kuchukua watu 300 tu, na jinsi utakavyoingiza pesa km kitega uchumi....
TUSHAURIANE
 
Mkuu inategemea ni ukumbi wa namna gani ..upo location gani..na unajulikana kwa kiasi gani...
 
Hivi kwa watu 300 ni kama span kiasi gani ya hall wakuu
 
Mkuu inategemea ni ukumbi wa namna gani ..upo location gani..na unajulikana kwa kiasi gani...

Mkuu hapo unamaanisha nini? hebu fafanua kidogo basi
 
Ni bonge la investment, uweke vizuri tu na uwe katika location inayofikika
 
jamani na mie natamani hii kitu.
hivi ni vitu gani muhimu vinatakiwa kuwemo zaidi ya hall tu
 
Back
Top Bottom