mtoo wa mwakidira
Member
- Sep 23, 2015
- 33
- 0
wana jf, hv kama m2 ana lak moja mkonon mngependa kumshaur afanye kp cha fasta fasta il baada ya muda hv aje awe na mtaj km wa 1million?
Yupo maeneo gani huyo mtu?
Tengeneza batiki, sabuni au ubuyu