Habari zenu wadau,
Mie niko Mtwara, natafuta ng'ombe wa kisasa wa maziwa,. Nahitaji ng'ombe wawili kwa kuanzia. Kwakua mie ni mjasiliamari ninaejifunza kamtaji kwangu ni 1,600,000 kwa hao ng'ombe wawili na wawe waliopandishwa tayari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.