Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wadau ni muda sasa umepita tangu nianze kuomba ushauri juu ya wazo langu la biashara ya viatu na mikoba ya kike hapa songea bila kupata michango ya wadau. Hadi leo hii maendeleo juu ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
RIFARO AFRICA ni kampuni mama toka tanzania yenye lengo la kumsaidia mmiliki wa simu ya mkononi kuweza kunufaika na muda wa hewani anaoutumia kwa kumuingizia KIPATO Kampuni ilipata wazo toka 2011...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello, Nipo Mbeya mjini, Nahitaji nisaidiwe wazo la namna ya kuitumia Noah yangu kibiashara. Bado nzima sana. Mawazo yangu niwe naenda route ya Mby-dar-mby safari za jioni...tatizo upatikanaji wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za mida wakuu, Kuna kitu naomba kujuzwa kuhusu biashara ya tigopesa na mpesa, mtu anaefanya biashara hii huwa anapata faida gani and on the other side kuna hasara gani? in a simple phrase...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
INSIGHTS INTO THE MINDSET OF SUPER TRADERS – Part 15 “If you like reading biographies on successful people like I do, you’ll notice that they all share one driving force. That force drove each...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Kwema? Naomba wazo lolote lile si bure kama kukosa kabisa wazo. Nina 500,000/- cash, nawaza sana hivi kwa pesa hii kweli niki jibiashara gani naweza fanya kika nitoa kimaisha najua itachukua...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Soko la mbuzi wa rejareja.. WanaJF, MimI huwa nafuata Mbuzi Handeni. Nilianza na wachache sana, sasa Mungu kanijalia naweza nikaleta hadi 10 au 8. Sasa natafuta wateja wa rejareja!
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Cjui naanzia wapi tena kurudi kwenye reli baada ya mtaji kukata! Ushauri tafadhali maana naona hapa nimeishiwa mawazo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
An Israeli Local Breed of rooster This kind of chicken is way bigger than the local Tanzania chicken weighing and fetching more profits as well
2 Reactions
65 Replies
18K Views
habari wadau.. hivi hizi biashara vp? kwa maoni yangu ni kama inamnufaisha manufacture wa hizo bidhaa kumuuzia kinguvu bila sisi kujua.. maaana kuna watu wananishawishi kweli ila kila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kuanzisha shirika litakalohusika na masuala ya mazingira. Mm ni mhitimu wa chuo kikuu shahada ya awali kutoka chuo cha hapa hapa nyumbani Tanzania. Naomba ushauri juu ya masuala ya msingi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kutakuwa na semina ya Kujiajiri Mwenyewe kupitia Mitandao WAPI: Ubungo Plaza DSM. Siku: Alhamisi 22.10.2015 Muda: Saa8 Kamili Mchana. Mawasiliano Piga Simu +255 752 693 692.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wadau nina milioni 25, nataka ushauri wa biashara ya kufanya, regardss...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
wakuu salaam sana nina nyumba maeneo ya kibamba natarajie baada ya uchaguzi niiezeke .nahitaji mbao 4x2 na 2x2 hapa naomba mnifahamishe bei na tofauti ya trited na zile za kupaka dudu killer...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
naomba kujuzwa mtaji wa kias gan wahitajika kuanza biashara ya asali kutoa kijijin kuleta mjin kama dar, na pia nahitaj kupewa ushaur juu ya hyo biashara na pia nipewe na changamoto ntazokutana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
1246 Je ungependa kukuza biashara yako? Kama ni msindikaji wa chakula cha kuku, mzalishaji wa vifaranga, msindikaji wa nyama ya kuku, mzalishaji wa mbegu za mahindi, msindikaji wa mahindi, nk…...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kujiajili
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari Nataka kujua biashara gani Bongo unaweza kukuingizia mil 2 kwa mwezi? Naombeni ushauri wenu pls
1 Reactions
26 Replies
8K Views
Habari, Kampuni yetu ya Central Park Bees Limited inakuja na Starter KIT iliyokamilika ya kukuwezesha wewe kuingia katika biashara ya ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na yenye mafanikio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau msaada kwa yeyote mwenye kujua kampuni ninayoweza kupata vifaranga kuanzia mia tano hadi elfu mbili kwa dar es salaam.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom