Habari zenu wapendwa naamin muwazima wa afya ,, kitu kilichoninya niombe ushauri ni kwamba ninampango wa kuchukua mkopo wa 500,000 sasa hebu nishaurini wadau naweza kuufanyia nn na kuzalisha faida nipo arusha
natanguliza shukran asanten
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.