Biashara ya kuuza machungwa na mipira ya mapenzi, inalipa?

Biashara ya kuuza machungwa na mipira ya mapenzi, inalipa?

MBOPOLI

Senior Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
160
Reaction score
27
Mambo vipi hapo!?

Ok mimi nina mpango baada ya uchaguzi nielekee Dar kuhamishia kazi yangu ya ufundi mabomba ya maji. Sasa mimi napenda sana kuwa busy busy kwa hiyo baada ya kufikiria sana nikaona kwamba mchana kazi ya mabomba ,usiku niwe natembelea vijiwe vya madada poa Kimboka, Africa sana, Temeke na kadhalika, niwe nauza machungwa na mipira au kondomu za kike na kiume.

Wewe unaonaje, hii biashara itanilipa au ngoma ngumu?
 
Tayari watu wanafanya hyo kazi wapo kibaoooo unapotewza mda wako
 
Jaribu kwanza, wasikukatishe tamaa.

Kila mtu ana nyota yake kwenye biashara.

Unaweza wapiga bao hao utakaowakuta kwenye gemu
 
Duh! Wale wanamuda wa kula machungwa kweli? Condoms ni wazo zuri, utawasaidia wale wenye aibu kwenda dukani, lakini kuna mdau pale juu amekwambia wapo wengi wauza condom!..yeye atakuwa na uzoefu zaidi. Fanya research ya kutosha utapata jibu, huenda ukaamua kuwapelekea poda, au ukatengeza jiko mobile la kuchomea mishkaki ukawa unawauzia mishkaki...lol, au viroba...hahhaaa! Lakini ukitaka ikulipe sana mpaka pesa uzikimbie basi kuwa kuwadi, unachukua namba zao na picha zao, unapita kuwauza ukipata mteja unamcall unawaunganisha anakuachia percent yako!
 
Back
Top Bottom