spray
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 277
- 241
Hi wanajamvi, kuna kipindi nilinunua eneo langu kubwa baadae nikagundua na kuambiwa kuwa ni eneo linalotuamisha maji, nafikiria sana kuweka kilimo cha matunda na miti, sasa kila nikitaka kupanda aina fulani ya matunda eg papai, matikiti, miti mipine nk,,,wananiambia itakufa mhhh ikabidi kuwa mpole, kwahio nahitaji ushauri kwa wale wazoefu je nipande aina gani ya matunda na aina gani ya miti ili iweze kustawi hilo eneo lenye kutuamisha maji....?/
Wabeja sana
Wabeja sana