Soko la kuku kwa mikoa ya Dar na Morogoro

Soko la kuku kwa mikoa ya Dar na Morogoro

Big4

Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
60
Reaction score
27
Ndugu wajasiliamali wenzangu naomba kuulizia hali ya soko ipoje kwa wale wanaofuga kuku wa nyama yaani Broilers kwa mikoa ya Dar es salaam na Morogoro. je ni wakati gani yaani kuanzia January mpaka December soko huwa nzuri??? na ni kuku wa uzito kiasi gani wanaotakiwa sana na kwa bei gani katika kila mkoa??? .. je uhitaji/demand wa hawa kuku upoje??
Naomba Mawazo yenu ndugu zangu
 
Back
Top Bottom