Ushauri: Nina Laki 6, niifanyie biashara gani?

Ushauri: Nina Laki 6, niifanyie biashara gani?

hoe hand

Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
14
Reaction score
5
Wadau kama mnavyojua maisha kwa sasa yamekua magumu na inahitaji kutumia nguvu na akili ya ziada hivyo katika kujibana kwangu nimedunduliza sh.600000)laki sita.

Hivyo nimekuja kwenu mnipe wazo bora la biashara kwa mtaji wangu huo.
 
fungua biashara ya kuuza matunda huo mtaji ni mkubwa sana asee
 
upo eneo gani manake unaweza pewa ushauri usioendana na eneo husika
 
Anzisha biashara ya mkaa, jiunge na wenzio mkodishe gari mkauchukue huko porini mje kuuza mtaani. Mtaji ukikua utakodi gari peke yako
 
Uza mboga mboga na viungo mtaani kwako inalipa
 
biashara za chakula na matunda kwa kipindi hiki utakata mtaji mabwana afya wanasumbua
 
Back
Top Bottom