Ushauri: Nataka kuanzisha shamba la Miti

Ushauri: Nataka kuanzisha shamba la Miti

hilo shamba liko mkoa gani!?
maeneo ya karibu wanapanda miti aina gani?
kawaida kama ni miti ya mbao aina ya pines distance kati ya mti mmoja na mwingine ni 1m.
hekali moja inaweza kuwa na miti 500 isizidi 700
 
Back
Top Bottom