Msaada kuhusu vicoba saving

Msaada kuhusu vicoba saving

Travisy

Senior Member
Joined
Nov 6, 2015
Posts
178
Reaction score
64
Wadau nimeskia kuna taasisi inaitwa vicoba saccos saving inajihusisha na kuwasaidia wajasiliamali kuwapa mikopo ya riba nafuu na dhamana yake ni.ndogo pia(ela)

ila naskia wanatoa kupitia online system sasa ningependa kujua ni kwel?? Au isije kuwa waongo nisaidie wadau juu ya hili jambo

Wajasiliamali karibuni
 
Back
Top Bottom