Natafuta Mayai ya Bata maji

Natafuta Mayai ya Bata maji

kigoma1

Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
26
Reaction score
7
Natafuta Mayai ya Bata maji kwa ajili ya kutotoresha. Mayai yasiwe na zaidi ya siku 5. Nipo Morogoro .ahsanteni
 
Ee Mugabhoo,
Bata maji watu wengi hawajui kwa jina hilo.

Hawa hupatikana sana maeneo ya Kigoma kule Livingstone,au ule upande wa maeneo ya Machinjioni na josho,yaani maeneo ya Kibwe,chini ya Ujiji Seminary.Na hutaga sana kwenye mimeo ya viragorago inayoota kwenye maji kama matete.Au unaweza pia kuangalia wale waliopo Maeneo ya Katonga.
Pia jaribu ku deal saana na wale wanaovua Kambale na Ngege,maana ndio maeneo ndege hawa hupatikana na kuzaliana.

Kupata mayai yake au viota vyake ni shida saana,maana hawa ndege hawaishi nchi kavu kama ndege wengine.Hawa wao ni kwenye maeneo ya mkondo wa ziwa na vijito vyake.

Nwajua sana hawa niliwahi kuwafuga,na wapole sana,warefu na miguu utafikiia inakatika,wanafugika kama unavyofuga mata,ila lazima kazi iwe pevu,maana lazima uweke bwawa lenye miti ndani ili uje uasilia,laa sivyo hawazaliani.

Ila najua wewe umetumwa Mayai hayo na Mganga,maana siku hizi waganga wanawapa watu mambo magum magum saana.Maana mayai haya kama unaenda kuyatafuta mwenye basi jua Mamba au Kenge lazima wakulambe,maana hutagwa kwenye maeneo yenye maji ya lioyotulia juu ya miti iliyomo ndani ya maji.Kwa wale mnaojua maeneo ya Kibwe miaka ya 1985 basi kule mamba ndio kwao,walinikosa mara kibao
Mwambie Mganga apunguze masharti
 
Hahahaha duh nashukuru Zanzibar spices. Yaani umejaa imani ya kishirikina kiasi unaamini wenzio Wote ni kama wewe. Anyway ndio maisha yalivyo. Nataka Mayai kwa ajili ya kutotolesha . Mimi mfugaji bana
 
Ee Mugabhoo,
Bata maji watu wengi hawajui kwa jina hilo.

Hawa hupatikana sana maeneo ya Kigoma kule Livingstone,au ule upande wa maeneo ya Machinjioni na josho,yaani maeneo ya Kibwe,chini ya Ujiji Seminary.Na hutaga sana kwenye mimeo ya viragorago inayoota kwenye maji kama matete.Au unaweza pia kuangalia wale waliopo Maeneo ya Katonga.
Pia jaribu ku deal saana na wale wanaovua Kambale na Ngege,maana ndio maeneo ndege hawa hupatikana na kuzaliana.

Kupata mayai yake au viota vyake ni shida saana,maana hawa ndege hawaishi nchi kavu kama ndege wengine.Hawa wao ni kwenye maeneo ya mkondo wa ziwa na vijito vyake.

Nwajua sana hawa niliwahi kuwafuga,na wapole sana,warefu na miguu utafikiia inakatika,wanafugika kama unavyofuga mata,ila lazima kazi iwe pevu,maana lazima uweke bwawa lenye miti ndani ili uje uasilia,laa sivyo hawazaliani.

Ila najua wewe umetumwa Mayai hayo na Mganga,maana siku hizi waganga wanawapa watu mambo magum magum saana.Maana mayai haya kama unaenda kuyatafuta mwenye basi jua Mamba au Kenge lazima wakulambe,maana hutagwa kwenye maeneo yenye maji ya lioyotulia juu ya miti iliyomo ndani ya maji.Kwa wale mnaojua maeneo ya Kibwe miaka ya 1985 basi kule mamba ndio kwao,walinikosa mara kibao
Mwambie Mganga apunguze masharti

Najirekebisha mwenywe,kwamba post yangu ilimaanisha KUKU MAJI na sio BATA maji kama alivyodai mleta mada.
Maana kuna KUKU MAJI NA BATA MAJI
 
Back
Top Bottom