Vijana tuungane tujiajiri

Vijana tuungane tujiajiri

Eduin

Senior Member
Joined
May 15, 2014
Posts
189
Reaction score
136
WENYE FIKRA KAMA ZANGU TUTAFTANETUJIAJIRI WENYEWE UKIWA DAR ITAKUA POA SANA, VIZURI TUKUTANE WASAP #0713 123 160 MAANA SITUMII JF MARA KADHAA.. ni kwa walio serious tu. #umoja ni ushindi, karibu na njoo na upeo wako.
:eek2::eek2::crazy::A S crown-2:
 
sasa tusiotumia whatsapp inakuaje
 
Bora wakulima vijijini wanaungana kwenye biashara na kilimo kwa ujumla,ila Sio vijana wa DAR.
Full usanii,full utapeli.maisha ya mkato,kukatishana tamaa nyie kwa nyie,kujua kwingiii,na kujitoa kwenye kikundi ndio zenu.
Kuna kesi moja,mama mmoja kawachangisha wenzie kwenye kikundi cha mkopo,hatimae kasepa na pesa yoote.

Yote kwa yote ni wazo zuri
 
Ni kweli kabisa,
Labda muwe mnafahamiana kwa undani.
Binafsi siwezi kufanya kazi na vijana wa mjini.
Kuna changamoto nyingi mno.
 
Back
Top Bottom