Nauza sabuni za maji zenye harufu nzuri, karibuni wateja

ney2nyi

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
200
69
Habari zenu wadau,

Karibuni wateja katika biadhara yangu ndogo nnayoifanya muweze kuniwezesha mjasiliamali mwenzenu. Natengeneza na kuuza sabuni za maji zenye ubora wa hali ya juu na harufu nzuri,lita moja ni 2000.

Pia natengeneza unga wa lishe kilo 3000, karanga za mayai kwa bei ya humla na lejaleja,keki aina zote pia zinapatikana,karibuni sana na mungu awabariki.

Mawasiliano zaid kibiashara piga 0719007004..
 
Habari zenu jamani.

Karibun kuniwezesha mjasiliamali mwenzenu kwa kununu bidhaa zangu zenye ubora.

Natengeneza:
1. Sabuni za maji
2. Karanga za mayai
3. Unga wa lishe
4. Keki za harus, kitchen party,birthday......
5. Keki ndogo za KAWAIDA
6. Biskuti
Kwa bei ya jumla na rejareja, karibuni sana na mungu awabariki.

Mawasiliano 0719007004
 
Hongera kwa kujitambua na kujituma.

Ushauri:
Biashara za siku hizi ni ujanja,na ndio maana wapo watu mitaani wana biashara kama zako ila mambo yanaenda vizuri.na hii ni namna ya wanavyozitangaza biashara zao.

Binaadam ameumbwa na matamanio kwa kuona kitu,na ndio maana hata dem akipita mbele yako,basi kuna kitu tu kitakufanya either umslamie kwa style utakayojua wewe.

Na kwa wale wenzangu kanda ya Ziwa,yaani Wasukuma,wao nawafananisha na Wahindi,wewe nunua gari weka Mataa kibaoo,sticker telee,nakshi nyingii basi anaweza kunua bei kuliko hata ya kwenye yard.
Na hata ukiipamba Pikipiki au Baiskeli basi ndio kabisaaa(Kwa wasukuma sitaki ugomvi na mtu,hawa ni watani wangu)

Sasa nakushauri,weka picha za products zako zoote,ili kuvutia watu,packing ndio inavutia mnunuaji na sio maneno matupu kaka,na hata kama packing sio nzuri basi basi ubora wa bidhaa uoenekane ili watu wakupe ushauri.Kuna watu wanafanya biashara kubwa sana kwa Picha tu

Mfano mdogo ni Zanzibar,Karafuu hapa kwetu packing yake haifanywi kisasa kabisaa,ila kuna nchi kibao Ulaya Zinainunua na kufanya Packing ya kufa mtu,sasa ni kwamba ubora wake ndio uli attract watu kuja kuinunua.
Sasa hata wewe linaweza kutokea hilo kwako,tuwe wabunifu.
 
Back
Top Bottom