fukunyungu
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 717
- 194
Habari ya mwisho WA wiki wana jukwaa, poleni Sana na majukumu ya kila siku. Sasa kilichonileta hapa Ni kwamba Mimi Nina nyumba nahitaji mkopo kwenye taasisi za fedha, sasa kila nikienda wananiambia lazima niwe na biashara ndio nitapewa mkopo, dhamana wameikubalihaina tatizo, tatizo lipo kwenye biashara hapo, sasa basi kea mtu yoyote mwenyebiashara hata kama hana tin au leseni tuwasiliane ili tuone tunawezaje kushirikiana ili tuweze kupata mkopo kutoka kwenye taasisi za fedha zinazotambulika kisheria na zenye angalau riba sustainable, kuhusu tin na leseni vinapatikana haraka tu....asanteni tujumuike