Nauza asali

Oct 3, 2015
25
1
Ndugu wana JF. Nauza asali ya nyuki wakubwa ila soko bado linanisumbua naombeni msaada wenu. Nauza kuanzia ujazo wa lita moja kwa sh 10000 pia ninauza jumla dum la lita ishirini kwa sh 160000. Nipo sinza karibu na meeda. Mawasiliano 0674003082/0766849951
 
Nauza asali ya nyuki wakubwa ila soko nado linanisumbua.

Lita moja ni tsh 10000, bei ya jumla dumu la lita ishirini ni sh 160000.

Nipo Sinza karibu na Meeda.

Mawasiliano 0674003082/ 0766849951.
 
Ndugu wana JF. Nauza asali ya nyuki wakubwa ila soko bado linanisumbua naombeni msaada wenu. Nauza kuanzia ujazo wa lita moja kwa sh 10000 pia ninauza jumla dum la lita ishirini kwa sh 160000. Nipo sinza karibu na meeda. Mawasiliano 0674003082/0766849951

ya ukwel au mauzauza.... maana sku hizi HADI PANADOL ZINA STILWIRE
 
ndugu wana JF nauza asali ya nyuki wakubwa kuanzia ujazo wa kita moja ambayo ni tsh 10000 pia nauza jumla dum lita 20 ni sh 150000. soko linanisumbua msaada jamani
 
ndugu wana JF. nauza asali ya nyuki wakubwa kutoka tabora. lita moja tsh 10000 kwa bei ya jumla lita ishirini ni sh 150000. mawasiliano 0674003082
 
Ninauza asali mbichi ya nyuki wakubwa kutoka tabora. Ila masoko ndio yananisumbua kwa anayeweza kunisaidia wapi ninaweza nikauza. Nipo dar sinza karibu na meeda. Ndoo ya lita ishirini ni tsh 160000. Mawasiliano 0674003082
 
Nenda (YAWIRI) kuna wakala wa mzungu ajulikanae kama mgosi,ananunua kwa ajili ya kutengeneza pombe ya asali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom