Upandaji Shamba LA miti

Upandaji Shamba LA miti

Lugombo Nsesi

Senior Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
126
Reaction score
151
Jamani naomba utaalamu wenu juu ya upandaji Shamba LA miti ya mbao.
Inapandwa kwa interval gani mti hadi mti na mstari hadi mstari.
Naombeni sana
 
Inategemea lengo la miti na miti gani! Kwa nguzo za umeme mita 2 toka mti mpk mti
 
Back
Top Bottom