Wale wa Matikiti juice, smoothies,salad

networker

JF-Expert Member
Apr 23, 2011
570
215
Jipatie kipato kwa kutengeneza au kuomba space mahali mfano kkoo au hata njee ya duka la mshikaji wako weka ki friji chako uza juice, smoothies na salad kuliko kukka bure add value mazao ya shambani upate faida .. ukitaka matikiti maji niko tayari nkuzie
Ndonga fresh za kumwaga 3000-5000 (sikuzii 6000 staki zambi)
size ya kati 2000-2500
ndogo kiasi -1000-1500
Tukutane soko la matunda tandale mzigo umeingia tani 4 kazi kwako weka order yako hapa- -0719647966 kwa Dar ukichukuwa matunda 100 na kuendelea za bei kuanzia 2000 tsh tunakuletea popote kwa gharama ya 20,000

0719647966
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom