Fursa kwa wafugaji wa kuku wa mayai

Fursa kwa wafugaji wa kuku wa mayai

Master of the game

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2016
Posts
5,858
Reaction score
2,700
Habari zenu ndugu zangu? natumai nyote muwazima.
Kama kichwa kinavyojieleza, kuna kampuni nimebahatika kufanya mawasiliano nayo ina uhitaji mkubwa wa mayai.
Zinahitajika tray 2000 kwa siku ,mnaweza kujikusanya hata wafugaji kadhaa mradi tufikishe hizo tray zinazohitajika, kama una uwezo wa tray hata 50 kwa siku au zaidi tunaweza kuunganisha nguvu tukafanikisha hili.
Kampuni ipo Dar es salaam hivyo ni vizuri kama utakua karibu na hayo maeneo.
 
Yakienyeji au ya kisasa?
 
Mkuu naomba kujua huyo mdau ananunua kwa shilingi ngapi trei moja kama vipi nitafute kwa namba hizi 0789479841
 
Kwa faida ya wengine mdau bei yake ni ya chini kidogo ndio maana anataka moja kwa moja kutoka kwa mzalishaji, yeye ananunua kwa shilingi 5000.
 
mayai tray 2000 kila siku duuu ana kiwanda huyo mdau au anayasafirisha nje?hii itakua fursa njema kabisa aise safi sana
 
Anasafirisha hata sijui anapeleka wapi, juzi aliniambia nimpe tray 300 za haraka nikashindwa nitazitoa wapi.
 
Back
Top Bottom