maroon7
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 11,341
- 15,842
Mambo aje wakuu
Naomba kufaham kama kuna madhara kuosha mayai ya kuku na badae umuwekee alalie. Kuna mayai nimeletewa toka shamba bahat mbaya yalikua machafu..na pia niliweka kwenye maji kubaini yepi ni viza ambapo nimekuta yai moja tu ndio viza mengine yote mazima. Sasa nishaurini naweza kumuwekea kuku kwa lengo la kuatamia baada ya kuyaosha?
Natanguliza shukrani