habari wandungu
mwaka jana nilipewa shamba kama zawadi ila sasa kiukweli lina mgadi kiasi kwamba sijui zao la kupanda katika shamba hilooo .
kwa mtu mtaalamu naomba ushauri kwa hillo plz. nipande zao gani katika shamba hilo
asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.