jofujulius09
Senior Member
- Mar 9, 2017
- 105
- 50
Habar yenu wanajamvi mimi ni kijana mwenye elimu ya diploma. Nimemaliza shule ivi karibuni target yangu kubwa kuja kujiajili kwa cozi niliyosomemea kwaivo natafuta mtaji sasa jambo la msingi ni ivi;
Nina eneo kama nusu heka ivi lengo langu nianzishe mradi wa ufugaji na mimi ni mgeni kabisa katika hili sina taaluma yoyote ya ufugaji labda kufuga kuku wa nyumbani.
Kwaivo kitu cha msingi nilikuwa naomba ushauri ni mfugo gani kwa utawala huu nikifuga nitapata faida nyingi kuliko hasara
Sent using Jamii Forums mobile app