Wazo la kuuza vocha za jumla, max malipo na startimes kwa mwanza mjini

RORYAKWETU

RORYAKWETU

Member
Joined
Nov 18, 2011
Messages
83
Points
95
RORYAKWETU

RORYAKWETU

Member
Joined Nov 18, 2011
83 95
Mimi ni mhitimu wa elimu ya juu mwaka huu na katika tathmini yangu swala la kusubiria ajira inaweza kusababisha ndoto zangu zisitimie kwani napoteza muda kwani wakati mwingine najikuta nikitamani hata kufanya kazi ilimradi niweze kujikimu kitu ambacho kwa maisha ya sasa ni hatari sana.
Mimi nina uwezo wa kupata mtaji wa milioni tano tu fedha za kitanzania hivyo kwa sababu naamini kuwa hili ni jukwaa la biashara na ujasiriamali naomba michango yenu ya kimawazo kuhusiana na wazo la kuwa wakala wa kuuza vocha za jumla, luku na startimes. Napendelea biashara hii kwani si hatari kwangu mimi ambaye ndiyo naanza ukizingatia nina mtaji mdogo.
Lengo langu ni kuwa kupata kazi niipendayo mimi na si ya kuchaguliwa na ndugu au wazazi ndiyo maana nahitaji kujishughulisha ili kukuza kipato changu ili nijitegemea kwa kiasi kikubwa na kuwa katika nafasi nzuri ya kutimiza hili lengo langu.
Mimi naamini kuwa maisha bora yanawezekana kama vijana wengi watajengewa uwezo wa kujitegemea
Asanteni sana na mungu awabariki
 
M

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2008
Messages
626
Points
170
M

Mbwambo

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2008
626 170

kweli kijana uamuzi wako ni wa busara sana na Mungu atakujalia na faida kubwa katika biashara yako hii. Ila kwavile umesema ni mauzo ya jumla ya vouchers MAXCOM na star times na Luku labda FAIDA YAKE itakuwa tofauti na yale mauzo ya MAXCOM. Mimi nina machine ya MAXCOM lakini faida yake ni ndogo sana maana vouchers za reja reja faida yake ni 5 percent mitandao mingine na 4.5 percent ni Tigo. So kweli faida yake siyo kubwa

Kama umefanya utafiti wa kutosha kuhusu faida ya jumla kwa vouchers na Star times na MAXCOM itakuwa vyema
Ninaomba niambie kwa kupitia private message je biashara hiyo kwa jumla inakuwa na faida kiasi gani na process zake.
I wish you all the best.
 
amkawewe

amkawewe

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2011
Messages
2,027
Points
1,195
Age
29
amkawewe

amkawewe

JF-Expert Member
Joined Dec 9, 2011
2,027 1,195
Kati ya maxmalipo na selcom nani na toa percent nzuri?
 
A

adasfield

New Member
Joined
Sep 27, 2014
Messages
1
Points
20
Age
25
A

adasfield

New Member
Joined Sep 27, 2014
1 20
mimi pia ninampango wa kufanya hii biashara ila sina tips na hints za kuhusu mtaji, na hatimaye faida uimara na challenges zote ambazo nitakutana nazo katika biashara hii
 
Neema Massawe

Neema Massawe

Member
Joined
Aug 13, 2014
Messages
44
Points
0
Neema Massawe

Neema Massawe

Member
Joined Aug 13, 2014
44 0
Kwa mtaji wa TZS 80,000 tu, utaweza kutumia simu yako ya mkononi kukuingizia mapato ya uhakika kila mwezi (TZS 1 Million na zaidi) pamoja na mapato ya uwakala wa laini za simu.

Hii ni fursa ya uhakika na ushahidi wa kulipwa upo kama utataka kuona ushahidi wa malipo ambapo kuna mapato ya wiki na mapato ya mwezi ambayo unayapata kupitia kwenye account yako na unapata message wakati unalipwa.

Kwa wale watakaotaka kuchangamkia fursa hii mpya, tuwasiliane kwa namba hii 0772977330 au tembelea ofisini kwetu. Tupo Makumbusho Bus Terminal & Business Complex, Block A, Ghorofa ya kwanza (Juu ya Uchumi Supermarket), chumba namba FF-04, Dar es Salaam.
 
Wilbert Mtessigwa

Wilbert Mtessigwa

New Member
Joined
Jun 4, 2016
Messages
4
Points
20
Wilbert Mtessigwa

Wilbert Mtessigwa

New Member
Joined Jun 4, 2016
4 20
Kwa mtaji wa TZS 80,000 tu, utaweza kutumia simu yako ya mkononi kukuingizia mapato ya uhakika kila mwezi (TZS 1 Million na zaidi) pamoja na mapato ya uwakala wa laini za simu.

Hii ni fursa ya uhakika na ushahidi wa kulipwa upo kama utataka kuona ushahidi wa malipo ambapo kuna mapato ya wiki na mapato ya mwezi ambayo unayapata kupitia kwenye account yako na unapata message wakati unalipwa.

Kwa wale watakaotaka kuchangamkia fursa hii mpya, tuwasiliane kwa namba hii 0772977330 au tembelea ofisini kwetu. Tupo Makumbusho Bus Terminal & Business Complex, Block A, Ghorofa ya kwanza (Juu ya Uchumi Supermarket), chumba namba FF-04, Dar es Salaam.
Mh! Hii hapana, ebu changanua hiyo faida inapatikanaje kabla hujapigiwa simu
 
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Messages
1,582
Points
2,000
mtena

mtena

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2014
1,582 2,000
Utakufa mapema sana adikudanganye huyo eti faida ni zaidi ya 1ml vocha hazina faida vocha ya 100000 faida yake ni 6000 na vocha za mil ni elf 60

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,285,195
Members 494,498
Posts 30,853,337
Top