Ushauri: Kuku wangu wamechelewa kutaga

Ushauri: Kuku wangu wamechelewa kutaga

Tum4

Member
Joined
Jul 15, 2017
Posts
36
Reaction score
2
Wakuu kuku wangu hawa wa asili nimewanunua muda mrefu kweli lakini hawatagi wana tetea tu muda wote lakini kutaga hawatagi sijajua tatizo ni nini naombeni ushauri wenu tafadhali.

871eccdb183b5460073335632a8201a4.jpg
24ccabad8125ff31fa209dc979f23fcb.jpg
8cb2fc6dc56294825a06dd2e2ce425f6.jpg
3d2cc17492e52cf37c935c1eaa7df318.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jogoo itakua bado hajabalehe

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
UKIWAZOESHA SANA JOGOO NA MAJIKE WANAWEZA KUCHUKULIANA WAO NI NDUGU,JARIBU KUMTOA JOGOO NJE SIKU NYINGINE NA UMRUDISHE JIONI ITASAIDIA
 
AU UNAKUTA JOGOO KACHOKA KAMA ALIPOTOKA ULIKUWA ANAPEWA MAJIKE WENGI TOFAUTI NA INAVYOSHAURIWA(1 JOGOO 5 MAJIKE)
 
Ukitaka kuona matokeo mazuri ya utagajii
Jaribu kuwapa chakula chenye virutubisho ndani ya wiki utaona mabadiliko
Tena siku hizi huwa wanauza vyakula hata kwa kupima kama hauna uwezo wa kununua gunia
Nunua Chakula kinaitwa Layers nikwaajili ya kuku wa mayai
 
Back
Top Bottom