mischa
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 368
- 176
Habari Wana JF,
Baada ya kupigwa na ugumu wa maisha kila wazo naona lina bounce,
Ningependa kufanya biashara ya Kununua TOYO ile three wheel ya kubeba mizigo masokoni afu mwisho wa siku nipate pato,Je naweza jua zinauzwaje?na hesabu nnafanyaje mm na dereva?na changamoto ni zipi?
Kingine
Nimefikiria kununua turabai na kuzikodisha,je Changamoto zake ni zipi?
Ntashukuru sana.