Dkanimba
Member
- Apr 14, 2012
- 10
- 2
Nina ndoto za kua mjasiriamali mkubwa, wazo kuu linalo nijia kichwani ni kuanza kua na eneo la kujitosheleza ambalo nitahitaji mtaji mdogo tu wa kuanzia ambao mpango wa kwanza niku uwekeza katika ufugaji wa kuku na nguruwe.
Mategemeo yangu niku zalisha pesa zaidi kutokana na huo ufugaji ambapo maaminio yangu ni kwamba nitaweza kutimiza ndoto zangu za kufanya ukulima wa kila aina na kuukuza mtaji wangu kwa asilimia kubwa zaidi ya nitakayo anza nayo.
Je wana Jamii mna mtazamo gani juu ya hili la mimi kuanza na ufugaji w kuku na nguruwe katika kufikia na kukamilisha ndoto zangu?