ufugaji wa kuku.

badru yassin

Member
Oct 22, 2016
7
2
Habari:
mwenye idea nzuri/ business proposal nzuri ya ufugani wa kuku wa aina yoyote aniandikie hapa.

i will get back to him/her
 
Habari kwa MTU yeyote mwenye interest ya kufuga kuku Nina banda tegeta masaiti nakodisha,banda na vyombo vyangu vya kuku na machine ya kunyonyoa manyoa.mwenye interest ya kufuga kuku anakaribisha kuona.whatssap 0786057996 or call 0756661761
 
Picha 1 hujibu maswali 1000..jaribu kuweka picha mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom