Kuku Akimpanda Kanga Nini Kitazaliwa?

Kuku Akimpanda Kanga Nini Kitazaliwa?

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,292
Reaction score
6,772
Nina kanga mmoja tu jike, sasa nashangaa jogoo anataka kumpanda huyu
Kanga, Kama kafanikiwa sijaona maana nimechoka kusubiria.

Ninachouliza kwenu wadau, hivi ikitokea kuwa hivyo ni ndege aina gani watazaliwa?

Sitaki kabisa kuamini kabisa maneno ya jirani yangu kuwa kuna uwezekano
akatotoa Nyoka, najua haiwezekani.
 
Sema ukipandikiza, lkn wao kwa wao hawawezi kupandana!
 
Nina kanga mmoja tu jike, sasa nashangaa jogoo anataka kumpanda huyu
Kanga, Kama kafanikiwa sijaona maana nimechoka kusubiria.

Ninachouliza kwenu wadau, hivi ikitokea kuwa hivyo ni ndege aina gani watazaliwa?

Sitaki kabisa kuamini kabisa maneno ya jirani yangu kuwa kuna uwezekano
akatotoa Nyoka, najua haiwezekani.
Chotara
 
endelea kusubiri usichoke !!! ila kuna wahenga wanadai wanatotoa popo
 
Sijawahi kuona hiyo kitu. Unajua kila viumbe wako defined na number of chromosomes. Hizi zinaitwa hereditary materials ambazo zinapatikana kwenye nucleus of a cell.
Sasa kwa mfano binadam tuna 46 number of chromosomes. 23 from a female and 23 from a male. Kwa hiyo tunapojamiiana baba anatoa chromosomes 23 na mama pia anatoa chromosomes 23. Kwa kuwa number of chromosomes zinalingana, a pairing of genes is made possible...
Sasa inapotokea kiumbe kama kuku lets say ana chromosomes 9 na kanga ana chromosomes 10 wanapojamiiana pairing of genes inakuwa impossible na hivyo hiyo mating haiwezi kuproduce a zygote!
 
Nina kanga mmoja tu jike, sasa nashangaa jogoo anataka kumpanda huyu
Kanga, Kama kafanikiwa sijaona maana nimechoka kusubiria.

Ninachouliza kwenu wadau, hivi ikitokea kuwa hivyo ni ndege aina gani watazaliwa?

Sitaki kabisa kuamini kabisa maneno ya jirani yangu kuwa kuna uwezekano
akatotoa Nyoka, najua haiwezekani.
kitendo cha jogoo kumpanda kanga tayari ni ishara kuwa wako jamii moja, kama binadamu, wazungu, wachina etc!
wangekuwa tofauti asingekuwa hata na mungkari ya kumpanda.
vifaranga ndo jina lao, na wakikua watafata upande wa baba yao kama kawaida.
 
sometimes inakubali anatokea GUINHEN
27c42165a9c5ba85fa7eeeb7bb6888ed.jpg
 
When confined together, chickens and guineas will interbreed on occasion, and sometimes the result is a fertile egg. Survival rate in these hybrids is higher if they are more like the guinea parent (in which case the incubation period is 25-26 days). There is a lower probability of survival for those which more closely resemble the chicken (and in that case incubation is usually 21-22 days).
Hybrid is called Guinhens. Note that is only possible if a rooster mount a guinea hen and not vice versa.
 
Hata akimpanda hakuna chochote kitachotokea maana mbegu za jogoo haziwezi fika kwenye sehemu za huyo kanga kutokana na utofauti wa maumbile,fanya umtafutie kanga dume uanze kupata matunda ya kanga.

-Ndumilakuwili-
Umemaliza kila kitu. Mada ifungwe sasa
 
Swala Co Kupandana, Maana Hata Binadam Wapo Wanaopandana Na Mbwa, Punda Au Farasi. Swala Ni Je Fertilization Inawezeka? Me Kwa Elimu Yangu Ndogo Ya Biology Fertilization Inatokea Kwa Wanyama Ambao Wapo Kwenye Same Specie. Labda Km Itafanyika Kwa Njia Ya Maabara Km Wafanyavyo Kati Ya Ng'ombe Na Nyati.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom