Nahitaji mahindi tani 30

Nahitaji mahindi tani 30

nguo

Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
28
Reaction score
7
Habari zenu wakuu
kwa yeyote mwenye mahindi naitaji tani 30 napatikana dar ukiwa nayo nipigie kwa namba 0755405027,0715405027.
 
Unanunua kwa TZSH ngapi per KG or Tn?
 
Kule kwetu Sumbawanga kwnye bohari ya mkoa mahindi hadi ya mwaka juzi bado yapo kwenye maghala,please fika Rukwa hutajuta na utayapata kwa bei nafuu sana
 
Na wewe hujataja bei, bei nafuu ndio sh ngapi mkuu?
 
Habari zenu wakuu
kwa yeyote mwenye mahindi naitaji tani 30 napatikana dar ukiwa nayo nipigie kwa namba 0755405027,0715405027.

Unanua kwa tzs ngapi?
 
Back
Top Bottom