Naomba kujua bei ya vitunguu maji kwasasa

Habar wana JF kwa anaejua bei ya vitunguu maji kwasasa katika mikoa mbalimbal nipate mwanga
Baada ya shida na mihangaiko hayimae nimejuwa bei ya kitunguu leo tarehe 03/05/2017 kuwa n 120,000/= kwa Ilula na Ruaha mbuyuni Iringa.
 
ukimpata mteja wa jumla ni pm mkuu,maana mimi kitunguu changu nitakitoa mda si mrefu
 
Mkuu shamba liko wapi?una matarajio ya kutoa tan ngapi?na bei za jumla kwa gunia utauzaje?
 
Shamba lipo dodoma, nategemea kutoa gunia 50+,,kuhusu bei nitaangalia na soko jinsi lilivyo,vp mkuu ulikuwa unahitaju?
 
Mimi nmwenyew batoa mwez wa 6 kabla ya tar 15.
 
Baada ya shida na mihangaiko hayimae nimejuwa bei ya kitunguu leo tarehe 03/05/2017 kuwa n 120,000/= kwa Ilula na Ruaha mbuyuni Iringa.
Kitunguu kinaanza kurudi heshima yake.
 
Natarajia kuvuna soon, anaefaham Bei kwa Sasa atujuze please

Thanks.
 
Back
Top Bottom