Mbinga roadWadau habari za Majukumu, Ningpenda kufahamishwa vilipo viwanda vidogo ama watengenezaji wa vyakula vya mifugo hususani kuku kwa maeneo ya Songea. Nikipata na mawasiliano yao itakuwa vema. Natanguliza Shukrani
kuna jamaa anacho kiwanda maeneo ya Sinai (barabara ya Mbinga). Namba yake 0713 76 40 51 ChanaiWadau habari za Majukumu, Ningpenda kufahamishwa vilipo viwanda vidogo ama watengenezaji wa vyakula vya mifugo hususani kuku kwa maeneo ya Songea. Nikipata na mawasiliano yao itakuwa vema. Natanguliza Shukrani