GAS STATE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 1,770 Reaction score 959 Oct 6, 2017 #1 Wadau assalam, Nadhani Ijumaat imekaa sawa, Nauliza dawa kali ya wadudu wanaotambaa kama vile mende, sisimizi,kunguni, chawa na mchwa. Tafadhali anaejuwa anijuze jina, pia hata zinakopatikana kwa hapa Dar.
Wadau assalam, Nadhani Ijumaat imekaa sawa, Nauliza dawa kali ya wadudu wanaotambaa kama vile mende, sisimizi,kunguni, chawa na mchwa. Tafadhali anaejuwa anijuze jina, pia hata zinakopatikana kwa hapa Dar.