Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

NIMENUNUA SHAMBA MKURANGA KWA NIA YA KUANZA KILIMO MWAKA ULIYOPITA NILILIMA NYANYA NA NILIVUNA VIZURI HILA NILILIMA KAMA EKARI 2 TU ZILIBAKI EKARI 10,KWAHYO NIMEONA KULIKO KUACHA PORI WAKATI...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Kama kichwa cha thread hapo juu kinavyojieleza. Naomba mwenye connection na wadau Wafugaji ili ninunue Jogoo mzuri Chotara kwa ajili ya mbegu. Nahitaji pia vifaranga chotara kuanzia 50 hivi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Viko 9 vimetotolewa Leo Kwamawasiliano tupigie 0717164792 au 0625588676
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wakuu natamani kuwekeza hapo ila soko lake sijui likoje naomba mnipe mwangaza kidogo japo nipate imani ya kujikita hapo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF nimekutana na changamoto leo nilipoulizwa juu ya maharage ya FIWI na huyo mtu akaniambia yana soko sana kenya na india, naomba mnisaidie haya maharage yanalimwaje, mbegu inapatikana wapi...
2 Reactions
7 Replies
12K Views
kilimo cha samaki ni kilimo rahisi saanaa na ni kilimo kinachotumia mahitaji rahisi na ya kawaida kama vile aridhi na maji. lakini pia kilimo hichi hukumbwa na changamoto mbalimbali.kama vile...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nauza sungura wa kisasa wapo mbezi makabe Dar...newzealand white,dutch na newzealand black mmoja 30,000 Nipo mbezi makabe Call/whatsapp..0753534514
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Irrigation Potential Lake Victoria, Tanzania – FutureWater Utafiti ulishafanywa tokea mwaka 2008 sijui kiliendelea nini. Kuna mmarekani alipitia maeneo ya ziwa anasema ziwa Victoria liko katika...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Asilima kubwa ya raia Tanzania ni Wakulima vijijini na hawa watu wengi wao wanateseka sana kwa ugumu wa maisha unaowakabili siku hadi siku. Wakulima wanataabika kulima kwa jasho lao tena kwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
KWA MAHITAJI YAKO YA MASHINE YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA(INCUBATOR).TUNAKUTENGENEZEA MASHINE HIZI KWA UKUBWA UNAOHITAJI.UNAPEWA GARANTEE YA MWAKA MMOJA.WASILIANA NASI KWA NAMBA HIZI. 0784999995...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
KAMA KUNA MTU ANAHITAJI ASALI MBICHI INAPATIKANA SINGIDA MANYONI ZIPO DUMU 40 ZA LITRE 20
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Salaam kwenu wadau wa kilimo.Kuna tetesi kwamba serikali imezuia kusafirisha nataka hasa mahindi nje ya Nchi na pia kati ya Mkaa na mkoa. Manake haiingii akilini Sunbawanga na MBEYA gunia la debe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni tumaini langu wote wazima. Naomba mwenye uelewa na hili jambo anifahamishe. Ni certificate gani inayohitajika,na inatolewa wapi kwa ajili ya kusafilisha matunda nje ya nchi. Natanguliza shukurani
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kilimo kimekuwa kikinadiwa na kupigiwa upatu na wahamasishaji wa aina mbalimbali hususani wale wanaosisitiza kulima kibiashara na kuwapa watu matumaini bila kuwadokeza vitu mhimu ambayo...
9 Reactions
33 Replies
7K Views
Ningependa kujua bei ya gunia ya ubuyu vijijini dodoma
0 Reactions
1 Replies
45K Views
Habari zenu watafutaji wenzangu Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu nimeanza kufanya mradi wa kufuga kambale lakini tatizo na changamoto nilizo nazo mpaka sasa bado sijapata soko ambapo wanaweza...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
JF, Somo tajwa hapo juu lahusika. Bei ni shilingi 200,000 kwa kila lita20 sawa na 10,000kwa kila lita moja. Nauza kwanzia lita 20.
0 Reactions
34 Replies
12K Views
Tafadhali mwenye taarifa za kilimo cha soya,mchanganuo wa gharama kwa ekari na masoko.Changamoto zake n.k.Nimepenyezewa habari kuwa Songea mwaka huu wengi wametajirika na kilimo hicho.Karibu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wiki ijayo ndo show inaanza so mimi nitakuwepo Nairobi
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…