Hii imejitokeza baada ya mahindi kudoda kwa kukosa soko. Wakulima waltarajia kwa sehemu kubwa,mahindi kununuliwa na Wakala wa Hifadhi ya Chakula.
Chanzo ITV, 05/09/2017
My take: Hii ni fursa...
Habari za majukumu wadau, nachukua nafasi ya kuandika uzi huu kwasabau ya utayari na nia ya kutaka kujua zaidi na kuwa na mchanganuo sahihi juu ya mpango wangu wa kuamua kuingia jumla katika...
MITAJI, MITAJI, MITAJI
WAJASIRIA MALI HABARI?
Moja ya changamoto kubwa inayo kabili wajasiriamali wengi ni mitaji na kama mnavyo jua Benki sio lafiki wa wakulima, yaani ni rafiki kwenye...
NI LINI UNAPASWA KUONDOA KUKU WAKO WOTE BANDANI NA KUWEKA WAPYA?
Wafugaji wengi huwa tunafuga ila kitu kimoja ambacho hatukizingatii ni mahesabu,
Ni wafugaji wachache sana wanao zingatia mahesabu...
Naanza kwa kusema kuwa nchi hii tuna uhaba mkubwa wa wataalamu wa kilimo , na hata wataalamu waliopo hasa vijijini hawazipendi kazi zao na sio wafanyaji wa kazi kitaalamu bado wanafanya kwa...
Ninafuga kuku wa kienye ambao wamefika 80 na huwa ninawaachia wajitafutie chakula wenyewe,kwa sasa hivi kuku wangu wameanza kufa ghafula bila ya kujua ni kitu gani kinachosababisha vifo...
Kwa Wale woote wanaofuga Ngombe wa maziwa au wanapenda kujifunza Ufugaji wa Ngombe wa maziwa Karibu ujiunge kwenye group letu la whtsap ili kubadilishana mawazo ya kiufugaji kwa njia ya kisasa...
Habari
Naomba kujua athari za dawa ya kuku kwenye mayai. Nimewapa kuku dawa ya typhoid inaitwa Fatrium bado wapo kwenye dozi, mayai yanaweza kuliwa au nisubiri siku kadhaa. Naomba anayefahamu anijuze
Wapendwa mnisiadie nahitaji Kulima muhogo maeneo ya Pwani panaitwa Bungu njia panda ya kwenda Nyamisati Kwa wanaofahamu maeneo hayo ikiwa ni pamoja na ardhi yenyewe inafaa au?
Labla umesha wahi kujiuliza maziwa ya madukani yanasindikwa VIP na yanakaa muda gani,maswali yako yamepata majibu
1:Natoa mafunzo ya kusindika maziwa ya mgando kama ya ASAS TANGA,nk pia kama...
Wakuu nawasalimu!!
Nilikuwa naomba kama kuna mtu anajua pa kuweza kununua Battery Cages Za kuku wa mayai Na Bei zake!! Au kama kuna uwezekano nipate hata contact tu kazi ya kuwasiliana nitafanya...
Wananchi wilayani Kilindi wametakiwa kujihusisha na ufugaji wa Nyuki kwani kwa kufanya hivyo watakuwa pia wameyatunza mazingira yao kwa kuwa ufugaji wa Nyuki huhitaji mazingira bora na hivyo...
Habarini wakuu, ninahitaji vifaranga vya kuroiler toka kwa mfugaji yeyote hapa mbeya (ndani ya wiki hii) kwajili ya mradi wangu nipo mbozi mbeya ..0744575261... Asanteni muwe na siku njema
Sent...
Wadau wa jukwaa hili nina imani kubwa sana nitasaidiwa na wataalam wa mambo ya mifugo hapa.
Ni hivi nina ng'ombe wangu hapa ambaye alipandwa mwezi februali mwaka huu, tatizo ni kwamba tangu...
Habari wakuu,
nahitaji sana hawa kuku aina ya KARI nasikia wanataga sawa sawa na kuku wa kisasa wa mayai na wako developed na Serikali ya Kenya. Naomba mwenye nao au mwenye contact za CHasha make...