Wengi tunakuwa na malengo mazuri ya kimaendeleo hasa ya kulima mazao fulani, lakini tunakwamishwa na shughuli mbadala ambazo nyingi ya hizo ni zile za ofisini..kwa kuona hilo CHALAJI COMPANY...
Habari wana Jf....
CHAKULA CHA KUKU
MALIGHAFI
1.MAHINDI YALIYOPARAZWA KILO 25
2.PUMBA YA MAHINDI KILO 10.
3.MASHUDU YA PAMBA KILO 5
4.MASHUDU YA ALIZETI KILO 5
5.DAGAA KILO 5
6. CHOKAA KILO 1...
Habarini Wakuu,
Tafadhali naomba mtaalamu anayejua namna ya kutengeneza chakula cha kukuza kuku haraka (Grower mash) aweze kunielekeza.
Ni vitu gani huwa vinahitajika ili kuchanganya mpaka...
Kilimo ni sekta ya uzalishaji ambayo huchangia kukuza pato na kuimarisha uchumi la taifa. Tanzania ikiwa ni nchi inayotegemea kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wake, mipango na mikakati...
Wakuu ningependa kuchukua taarifa hii kuwatakia siku njema pia ningeomba msaada kidogo kuhusu biashara yakufanya mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu sasa nina ela ya mtaji 250, 000 je nifanye...
Wanakua na kufikia uzito wa kilo 4
UJASIRIAMALI ni jambo jema katika mapambano dhidi ya umasikini, lakini pia ili kuweza kuwa mjasiriamali, yanahitajika maarifa ya ziada, ikiwamo ubunifu katika...
Jamani wanajamiii ninavifaranga vya kuku wa kienyeji. Navifuga huu ni mwezi wapili tokea vitotolewe lakini sasa kunaugonjwa umejitokeza ndugu zanguni ugonjwa huu umewafanya wanakua kama wamekunywa...
Wadau nina changamoto ya jinsi ya kupima mbolea ili niweze kuhakikisha ubora wake ie kujua kama imeharibika au la. Nahitaji kupima mbolea ya NPK na UREA.
Msaada please.
Habarini wafugaji wenzangu natumai nyote ni wazima.
Kama mada inavyojieleza hapo juu,nia hasa nikupeana ushauri juu ya ufugaji wetu wa kuku,na kuambizana jinsi gani ya kupambana na maradhi...
WAHI OFA YAKO KABLA HAIJAISHA
Habari wana kikundi, sisi tunaitwa Tawa Water Proffesional ni wachimbaji wa visima vya maji iwe kwa ajili ya umwagiliaji mashambani au kwa matumizi ya kawaida...
Habari za wakati huu wajasiriamali,
Mimi ni mfugaji wa kuku wa mayai (Layers) . Kuku wangu wana mwaka na miezi miwili. Nataka mpaka sasa wanataga asilimia 80% tu. Nina mpango wa kuwaondoa kuku...
Vitu muhim vya kuzingatia kabla hujanunua vifaranga vya kuku
1)nunua vifaranga kutoka chanzo kinacho aminika. Kununua vifaranga holela mitaani ni hatari sana wengi unakuta wameambukizwa magonjwa...
Habari wakuu....... Itifaki imezingatiwa!
Rejea kichwa hapo juu!
Nianze na swali hili hivi ni biashara gani au kwa kiwango gani au kwa plan gani mfanyabiashara anaweza kurtengeneza pesa hiyo...
Jamani nina majunia 50 ya dengu naomba kujua soko linakopatikana na bei yake ya jumla,
Huo mzigo uko Mkoa wa Mara kwa hiyo kama unaupdate zozote nijjlishe
KIONGOZI SORRY KWA KUDELAY KUKUJIBU.
HIKI KITUNGUU SAUMU...SINA TAARIFA NACHO
NASKIA TU MTAANI WANASEMA KINALIPA, BEI NZURI ETC?/.. LAKINI WAPO WANAOSEMA NI KILIMO CHA KUCHOSHA SANA MAANA HASA...
MiMI nIpo Ndanda hapa hivi sasa Hakuna jipya kuhusu malipo ya korosho ya mnada wa kwanza 2017/2018, wewe uko kijijini gani wilayani Masasi na nini kinaendelea au viongozi wanasemaje kuhusu hilo?
Na Dr Khalfan, Farmas cntre
Ugonjwa huu hutokea mara kwa mara kwa kuku wa umri wowote. Ugonjwa huu husababisha vifo vingi ukiingia(flock motality) na vifo hivi hufikia hadi 100% ya kuku ulio nao ...