Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kwanza kabisa nipende Kutoa Pole kwa Watanzania wote kwa Kuondokewa na aliyekuwa Rais wa JMT, pia niwape pongezi SADDIST wote waliofurahia kifo cha Hayati JPM. Baada ya kusema hivyo naomba niende...
3 Reactions
16 Replies
5K Views
Nina stashahada ya ufugaji viumbe maji (diploma in Aquaculture), nipo Dar es salaam nimesoma kozi ambayo inahusiana na ufugaji wa viumbe maji wakiwemo samaki wa maji chumvi na maji baridi, ni moja...
4 Reactions
5 Replies
4K Views
Mbinu hii mpya inaokoa gharama na muda. https://www.businessdailyafrica.com/bd/corporate/technology/drones-help-farmers-to-cut-spraying-costs-3380338.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, Ni wiki ya pili sasa nimeshindwa kutoa mzigo shambani milimani kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Wenye fuso wanagoma kwa kuogopa kudondosha gari. Nami ni lazima...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana hili jukwaa? Mimi nipo Dar nilikua natafuta mahala au mkoa ambao uko karibu na Dar ambapo nitaweza kupata wafugaji wa ng'ombe kwa wingi ili niweze kununua maziwa mazuri ya...
1 Reactions
60 Replies
19K Views
Nauza kuku wa nyama ( broilers) Wapo 200, Uzito wastani kg 1.5, Nipo Tabata, Dar es Salaam Bei 5500 Mawasiliano: tigo : 0712 260 994 voda: 0764 177 512
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wanajamii, Kama kuna mtu ana utaalam wowote wa ufugaji wa bata naomba tupeane elimu ili tuweze kufuga kisasa kwa ajili ya kutengeneza kipato. Naombwa kujuzwa wana jamvi na kupewa darasa kuhusu...
3 Reactions
240 Replies
147K Views
Wakuu kwema nimejaribu kufanya kilimo cha nyanya kwa hii season mkoa wa Kilimanjaro nyanda za juu kimsingi huku wengi sio wakulima wa nyanya kama ilivyo kwa ukanda wa kusini wa Kilimanjaro...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari ! Ngombe wangu wana tatizo. Kwanza walikua wanamimba wote wawili, then zlivyofika miezi minne - mitano zikatoka wote. Baada ya hapo wamekua wakiingia joto lakini kila nikiwapandisha...
2 Reactions
20 Replies
7K Views
Wanandugu, Naomba kupata namna ya kufanya kilimo cha nchi kavu. Kama kuna mahali kuna bandiko zuri naomba kuunganishwa nalo. Sijawahi kulima mpunga popote.
1 Reactions
2 Replies
3K Views
UTANGULIZI Kwanza tuanze kwa kujiuliza ni kwa nini vifaranga huwa wanahitaji kuwekewa joto katika wiki za mwanzo? Utaratibu bora wa ufugaji wa vifaranga unaelekeza kuwa katika wiki za mwanzo za...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Naomba msaada kwa anayejua kujenga Biogas plant: Nataka kujenga mtambo huo lakini malighafi itakuwa excreta na malighafi hiyo itatoka kwa watu kati ya 400 na 500. Naomba msaada wa BOQ pamoja na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Jamani nimebahatika kulima matango nauliza bei yake sokoni kwa sasa ipoje?
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Kwenda shambani inakua ni mateso kama mazingira ni mabovu. Weka kilimo mazingira mazuri ya shamba. Jiko la gesi, vyakula na maji. Saa ya kula unaandaa vizuri chakula mezani au kwenye mkeka...
15 Reactions
39 Replies
5K Views
Aina za miti ya maembe Zipo aina nyingi za embe, hapa, tumeelezea chache tu, ambazo ni nzuri kibiashara. Apple: Aina hii ya maembe asili yake ni pwani ya Kenya. Ina rangi nzuri ya njano au...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wanabodi habari ya majukumu!. Ninakuja kwenu na wazo langu na maombi kadhaa kwenu juu ya wazo hili. Ninahitaji kufanya kilimo cha Papai katika eneo la Mkuranga.Ninapanga kuanza kilimo hiki kwa...
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari za jioni wandugu, Nimekuwa nikitafuta mmea aina ya San Pedro Cactus,jina la kiswahili sijafanikiwa kuufahamu, kwa yeyote anayeweza kunielekeza maeneo nayoweza kuupata kwa hapa Tanzania...
3 Reactions
43 Replies
6K Views
Jamanii kwa anae jua mbwa naomben msaada uyu n aina gani ya mbwa
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Wakuu habarini Nimenunua eneo kwa ajili ya ufugaji wa nguruwe , kuku na mbuzi. Tayari nimeshajenga banda la nguruwe kwa kutumia matofali ya kuchoma yaliyojengwa na cement na kuezeka kwa mabati...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kutokana na uchache wa ajira uliopo nchi kwetu, nilitamani sana kupata partner ambae nitashirikiana nae kwenye ufugaji wa Samaki kwa kutumia vizimba, kitu pekee nlichonacho kama mtaji ni taluma ya...
3 Reactions
25 Replies
8K Views
Back
Top Bottom