Maxmax72
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 530
- 981
Wakuu kwema? Baada ya kijikita kwenye kilimo huku mkoani Mwanza,nimeona fursa ya kilimo cha alizeti kwani uhitaji wa mafuta ni mkubwa sana kwa mfano Lita 20 ya mafuta ya pamba inauzwa hadi elfu 85000.
Nimeamua nijikite kwenye kilimo hiki cha alizeti naombeni ushauri wa mbegu bora,namna ya kuaandaa shamba na mda mzuri wa kulima.
Asanteni.
Nimeamua nijikite kwenye kilimo hiki cha alizeti naombeni ushauri wa mbegu bora,namna ya kuaandaa shamba na mda mzuri wa kulima.
Asanteni.