Habarin za kazi wana jamvi, nina mpango wa kuanza ufugaji wa bata mzinga ila sina taaluma juu ya hao bata naomba kupewa elimu kuhusu ufugaji, pia changamoto na upatkanaji wa masoko
Nawasilisha...
Kama picha inavyojieleza, naomba mwenye ufahamu wa aina hii ya mayai. kwa nje yana shell yenye rangi nyeype. Ukilivunja kiini ni njano kawaida ila chepesi mno kiasi kwamba unachanyanyika na ute...
Habari za majukumu wanajamvi,
Ninahitaji Ngombe wa maziwa Singida mjini awe ndama, mtamba au mwenye mimba.
Au kwa anaejua wapi ntaweza kupata maeneo ya karibu anipe maelekezo,
Natanguliza...
Habari
Kuinstall drip irrigation system inaweza kugharimu kiasi gani kwa hekari moja ya shamba?
Nipo Morogoro mjini,na je ntawapata wapi wataalamu ya kazi hii
Je, unapenda kufuga samaki?
Basi, Masamaki zoo wanakuletea makala ambazo zitakupa mwanga wa pakuanzia ili uweze kuanza kufuga samaki kama wewe ni mpenzi wa ufugaji wa samaki.
Makala hizo...
Wakuu nina banda la kuku nimelijenga kwa miti na kukandika kwa udongo sasa usiku nikiwa nimelala anakuja mnyama anachimba na kuingia kisha anakamata kuku tena wale wakubwa kabisa anaondoka nao...
Wakuu wana jf habari,
Nimelima zao la kahawa miaka miwili iliyopita imeanza kuzaa lakini nachoshangaa majan yote yamepukutika na matunda yake yamekuwa kama yamekauka nilipojaribu kuuliza wenyeji...
Kuku Wa kabila la Dong tao ambao wanatambulika kwa kuwa na miguu minene ndiyo kuku ghali zaidi duniani.Kuku hawa huuzwa kwa bei hadi kufikia dola za marekani 2000.
Wanapatikana kwa...
Habari zenu wanajukwaa. Nipo Arusha lakini nimepata shamba kama hekari 30 huko morogoro mbele kidogo ya mji wa ifakara panaitwa Ihowanja. Napenda sana kulima kokoa ila sina hakika kama hali ya...
Niko wilaya ya kwimba napenda kujua kama maharage yanaweza kusitawi vizuri kwenye udongo mweusi (mfinyanzi) maana ninaeneo la aina hiyo na liko karibu na chanzo Cha maji.
Naomba ushauri wako.
Natarajia kupanda Maboga, naomba utaalamu kuanzia spacing, mbolea mpaka kuvuna asante.
========
Maboga Hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la...
Wakuu,
Kambwa hako nimepewa na ndugu yangu mmoja anao wengi sana, halafu bado Kana afya nzuri sana.
Naomba mnipe ushauri jinsi ya kumtunza vizuri kuanzia chakula gani ale jamaa aliniambia huwa...
Habari zenu wana JF,
Ninaomba taarifa juu ya biashara ya bucha ya nyama ya ng'ombe na Mbuzi, inapaswa niwe na mtaji angalau kiasi gani cha level ya chini kabisa kama ndiyo nataka nianze...
Wakuu nimefanya jaribio la kulima tangawizi hapa shambani kwangu,Vzimeota na kustawi vizuri shida ni kwamba hazina uchachu sababu nini nimelima Kibiti pwani japokua wazee wa zamani wanasema...
Nimeangalia documentary nyingi za kilimo kutoka Australia mpaka Brazil hata Italy, Ghana na South Africa. Kilimo kina faida baada ya uwekezaji mkubwa. Kwanza kilimo chenye faida kina anzia heka...
Wadau wote mnaoelewa habar za uchimbaji wa visima, nahitaji kisima kwa ajili ya umwagiliaji shambani, Je Kisima kilichochimbwa vizur kinaweza kutoa maji kias gani kwa siku ikiwa maji yatatolewa...
Habari wanajukwaa hili! Ni mara yangu ya kwanza kwenye hili jukwaa hivyo naomba msaada wenu na ushirikiano wa kutosha.
Mada kuu iliyonileta ni kuhusu kufanya biashara ya mchele hasa wa kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.