Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Hellow, guys Kwa walio mkoa wa Kilimanjaro na wenyeji ni aina gani ya mbogamboga zinahitajika kwa wingi endapo ukiwekeza kwenye mbogamboga.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu hivi mito kam Msimbazi, Mzinga nk, ina samaki? Imewahi kuwa na samaki? Ningependa tu kujua.
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Mambo vipi wadau wa maendeleo, natumai wote Ni wazima wa afya Kama kati yetu kuna mgonjwa naomba Mungu akupe wepes Mambo yawe vizuri. I hope Kila mtu anajua kilimo ndo uti wa mgongo kwa uchumi wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni mzoefu katika ufugaji. Lakini kitu kinachonipa wasiwasi ni kwamba nina jogoo wangu mkubwa tu wa miaka kama miwili hivi. Sasa tangu juzi sauti yake inanipa mashaka anapowika. Ni kama vile...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
1 Teknolojia bora ya kudhibiti saizi ya chembe ya kulisha Matokeo mengi ya utafiti nyumbani na nje ya nchi yanaonyesha kuwa wanyama wa uzao maalum na hatua maalum ya kulisha wana saizi bora ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Kwanza kabisa ningependa kumshukuru mungu wangu aliye nipa uhai na afya njema mpaka sasa pia ningependa niende moja kwa moja kwenye mada. Nazi ni kiungo kimoja wapo kinacho...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wataalamu, Mimi ni mgeni katika kulima nataka kuanza kulima na hasa ni kilimo Cha mapapai, pilipili mbuz au kichaa na maparachichi! Naombeni mawazo je Niko sahihi kama nitapata soko? Je...
0 Reactions
1 Replies
774 Views
biashara ya duka la pembejeo ili kuanza lazma uwe na vigezo gani na mtaji wa shingapi wa chini kabsa pamoja na faida zake kwa yeyote mwenye ufahamu na hili naomba kujua kutoka kwako
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Nimesikia kuna aina mpya za migomba ambayo huzaa mikungu miwili katika mgomba mmoja, kama kuna yeyote mwenye ufahamu juu ya hili anijulishe, inaitwaje na ni wapi naweza kupata miche yake. Sent...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari Wana JF naomba kuuliza Kama ifuatavyo 1. Kilimo Cha UFUTA mbeya kinalimwa wilaya gani 2. Masoko baada ya kuvuna yanapatikanaje hapo wilayani 3. Mtaji wake kuanzia kukodi shamba,kulima na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Kitalu ni sehemu ya maandalizi ya mimea au kiumbe kabla ya kuanza kujitegemea. Inawezekana kuwa hili neno limetokana na kilatini cha "Seminarium" ikiwa ni mahala pa kukuza vijana kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wafugaji wenzangu, Mimi kama mdau wa kilimo na ufugaji. Napenda kuwashirikisha jambo moja muhimu sana, pale unapoingia kwenye Tasnia ya ufugaji na kilimo jua kama biashara yoyote ile...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mimi ni mfanyabiashara wa Samaki kambale waliobanikwa. Naomba mbinu ya kuwafanya wasiharibike.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Msaada. Kuhusu kilimo cha tango ,, kinachukua muda gani mpaka kuvuna, udongo , hali ya hewa n.k
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari, Nina dhumuni na nia thabiti kujiingiza kwenye kilimo biashara! Bado ni mgeni kwenye hii sekta, kwa haraka nimepata wazo la kulima Matikiti Maji. Je, ni zao sahihi na lenye faida kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Jinsi ya Kulima matikiti maji Matikiti maji hulimwa kama zao la biashara katika sehemu nyingi duniani zenye hali ya hewa ya joto la wastani. Zao hili lina wapatia watu shughuli za kufanya na hivyo...
5 Reactions
358 Replies
116K Views
Wadau habarini, Naombaen ushaur kwa wazoefu wa kilimo cha VITUNGUU MAJI.Nimeshaanza mradi wa kulima hili zao,ndoto yangu ni kulima Ekari 3. Ila hofu yangu ni uhakika wa SOKO,kwa muda ntakaokuja...
2 Reactions
6 Replies
14K Views
Mkuu wa wilaya ya Arumeru , Jerry C. Muro ametumia saa 18 kusambaratisha mtandao wa wizi wa ng’ombe za wananchi majumbani ambapo mpaka sasa watuhumiwa 5 sugu wa wizi wa ng’ombe tayari wako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Utafiti mpya unasema wadudu, minyoo, mimea vamizi ya magugu,zinagharimu Afrika zaidi ya $ 3.5tn (£ 2.5tn) kila mwaka. Watafiti walio Ghana, Kenya, Uingereza na Uswizi wameelezea athari mbaya za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu kwema? Baada ya kijikita kwenye kilimo huku mkoani Mwanza,nimeona fursa ya kilimo cha alizeti kwani uhitaji wa mafuta ni mkubwa sana kwa mfano Lita 20 ya mafuta ya pamba inauzwa hadi elfu...
2 Reactions
10 Replies
7K Views
Back
Top Bottom