Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Habari za majukumu wakuu, Naomba kuuliza hivi Kuku wa kienyeji baada ya kutaga uchukua muda gani kuanza kuyalalia mayai.
0 Reactions
29 Replies
25K Views
Ndugu zangu nimekopa mil 5 sasa nilikua nataka kuingiza kwenye kilimo au ufugaji, hivyo naomba ushauri wenu kama ni kilimo nilime nini, kama ufugaji nifuge nini ili niweze kupata pesa ya haraka...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Habarini Wakuu, Nahitaji kupanda Zabibu miche kama 10 hivi katika eneo linalozunguka nyumba yangu. Nahitaji msaada kwa anayejua hatua kwa hatua za kupanda mpaka kuvuna.
0 Reactions
0 Replies
893 Views
"JEMBE ALIMTUPI MKULIMA" Mwaka 1972, Mwalimu Julius Nyerere akiwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, alitangaza Azimio la Iringa lililokuwa na kauli mbiu ya ‘Siasa ni Kilimo.’ Ilikuwa...
0 Reactions
2 Replies
19K Views
Habarini wana jukwaa... Mbolea za kemikali na dawa za kimekali limekuwa ni tatizo kubwa linalopelekea mabaki ya hizi dawa au mbolea katika mazao hususa ni mboga za majani. Hali hii ni mbaya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu naamini Mungu ni mwema. Naomba kwa heshima na taahadhima kubwa kupata ABCD za ufugaji wa samaki kwenye mabwaya ya kutengeneza man made Nina imani kubwa kuwa humu wako waatalamu wa kila...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Misingi na kanuni za kilimo bora. Neno Msingi lina maana ya mwanzo wa kufanya shughuli yeyote inayokusudiwa ili kuweza kufikia malengo. kwa hiyo katika kilimo ipo misingi muhimu ifuatayo: Kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki. Nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga.
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Kilimo cha Zabibu mkoani Dodoma kina historia ndefu, ambapo kwenye miaka ya 1950 na mwaka 1974 chini ya uzaidizi wa bihwana misheni, serikali ya Tanzania wakati huo ikishirikiana na serikali ya...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
Wasalam wakuu, naomba kufahamishwa mwenye kujua bei ya sasa ya kilo ya giligilani kwa masoko ya Dar.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Livestock dung dehydrator is also called poultry manure dehydrator. It is used for dehydrating pig dung, cattle dung, rabbits dung, chickens dung, and large and medium-sized livestock farms to...
1 Reactions
2 Replies
790 Views
Wakuu Kwema? Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Nina malengo ya kufuga kuku wa kienyeji. Je, mahitaji yake (yaani banda la kulala,nk) yanaweza yakafika kiasi gani cha pesa? Sent from my TECNO SA1 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wana JF Nataka nifuge samaki ila naomba msaada kwa yafuatayo 1. Naomba mnijuze kuhusu usalama wa hao samaki maana kwenye kiwanja changu sina fence 2. Nawezaje kuwalinda ili sumu isiwekwe ndani ya...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama wew ni mfugaji wa kuku na unahangaika wadudu waitwao utitiri, basi suluhu ya jambo hili jepesi isiyokuwa na gharama. Ni jivu la moto iwe la mkaa au kuni. Namna ya kutumia waweza kulimwaga...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wana jamvi. Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku. Uhitaji wa mboga...
6 Reactions
8 Replies
5K Views
Jaman mimi ni mwanafunzi wa SUA nimeandaa project plan ya ufugaji was nguruwe ila Sina mtaji naomba mwenye ushauri wa wadau wa maendeleo (stakeholders) ambao wanaweza kunisaidia kupata mtaji...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Au wameshakuwa kama kuku kwamba bila kufugwa na watu hawawezi kustawi? Karibuni kwa taarifa wajuzi!
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Hii picha ni ya mgomba uliokatwa, halafu kesho yake tu ukazaa, ni kawaida hii?
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimekuwa nikipata maswali mengi kutoka kwa wadau wa ufugaji mbuzi ambao wanaotaka kujua kuhusu upatikanaji wa mbuzi aina ya Boer hapa Tanzania. Ili kujibu swali hili nimetengeneza video ambayo...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Back
Top Bottom