Wadau nipo mbioni kununua water pump kwa ajili ya shughuli za umwagiliaji.
Naomba kujuzwa ipi ni aina bora ya water pump, hasa hizi za inchi 3-4 zinazotumia petrol.
Ahsanteni!
Habari zenu wakuu,
Nina uhitaji wa nguruwe kwaajili ya kuchinja na kuuza aliyekuwa kaniuzia naona ameshindwa kwakuwa nguruwe wake wamebaki wachache sana. Napatikana Dar
Vigezo:
1. Uwe na uwezo...
Wanabodi
Ninafanya ufugaji wa nguruwe na kuku.
Kwa sasa ninafugia Kigamboni. Lakini ninampango wa kuhamishia project Wilaya ya Mkuranga nina shamba la ekari sita huko.
Natafuta mjasiriamali...
Ndugu zangu Habari za majukumu.
Katika pita pita zangu nimegundua kuna wawekeezaji wengi sana wakubwa (Wazawa na wageni) katika Sekta ya Mifugo (kuku, ng’ombe mbuzi n.k) lakini hatuwafahamu
Basi...
Kutokana na ongezeko la maswali ya wadau wengi juu ya ufugaji wa kuku aina hii, tumeonelea ni vema tukauweka mjadala huu vema kuweza kuwasaidia wafugaji na wanunuaji wa vifaranga/kuku wa aina hii...
Naomba msaada wa kujua ni dawa gani nitumie kwa ajili ya kutibu tatizo sugu ambalo linakumba miti yangu aina ya mipera, kila ikiweka mazao, mapera yote yanakauka baada ya kufikia hatua flani...
Habari zenu wapendwa natumai mnaendelea vizuri na mimi pia sijambo
Kwasababu kilimo pia ni sayansi basi hata mambo yanayofanywa kwenye kilimo huzingatia sana mambo pia yakisayansi
Kupalilia ni...
Habari Jamvini! HAYA NI MAWAZO YANGU TU.
Ukiachana na uwepo wa zana za kisasa kama vile tractors pamoja na wataalamu wa kilimo kama vile agronomists na wataalamu wengine waliosomea mambo ya...
Habari zenu wadau
Naamini mpo vizuri
Leo tujifunze pamoja kuhusu zao la parachichi
Kila mkulima ambaye anafanya kazi ya kulima na kuvuna lengo lake kubwa ni kuhakikisha kwamba anapata mavuno...
Habari za usiku huu wadau.
Baada ya kupata taabu ya kutafuta kuku wa kienyeji wa kula, sasa nimeua rasmi nianze ufugaji mwenyewe. Nimejaribu kuangalia sokoni, utakuta kuku wa elf 17 ni mdogo sana...
Ninaombaa kufahamuu kuhusu mipapai isiyotoaa matundaa, ni hali gan inapelekeaa kuwa hvyoo?? Je kufungiaaa gunzii kwa mti kuna saidiaa kutokana na hali hiyoo?
Tafadhaliii mwenye kujua jambo hili.
Wadau Habari zenu. Kuna dawa kuku mpya nilisikia muda kidogo ikitangazwa kwenye redio jina sikumbuki vizuri maana nilisikia kwa mbali tatu kwa moja yaani inakuwa na newcaster na mchanganyiko wa...
Habari ya wakati huu wana Jf....!??...
Niende moja kwa moja katika mada hii husika na kichwa habari hapo juu...
Nipo katika mpango wa kufuga kuku kibiashara, hivyo naomba ushauri juu ya ni aina...
Serikali iwasaidie wakulima wadogo wadogo katika kuwawezesha kunufaika na kilimo kilicho bora.
Na tunajua kwamba Kilimo ni uti wa mgongo kwa taifa ambapo lishe yote ya wananchi inategemea juhudi...
Habari ndugu
Hapa nazumgumzia wale walio katika sekta ya ufugaji na ambao hawapo ila wana uelewa na jambo hili tujuzane hiki chakula aina ya concentrate ubora wake na kampuni ambazo zina chakula...
Wakuu heri na amani na iwe kwenu ni matumaini yangu kuwa hamjambo kama mimi.
Kabla sijaenda kwenye mada nikiri wazi kabisa kipaji cha kuandika sina ila ninauwezo wa juu wa kusikiliza na kuongea...
Habari yako
Naamini unaendelea vizuri na kama haupo vizuri basi MUNGU afanye wepesi kwaajili yako.
Karibu tujifunze pamoja
Kwenye kilimo kuna mambo mengi sana ambayo huchangia sana katika mavuno...
DRAFT 1
MATUMIZI
Gharama zisizojirudia kila msimu
1.Shamba: Kukodi laki moja kwa ekari moja. Hapa litakodiwa hekari mbili.
2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili.
3.Unatakiwa kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.