Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Wakulima, chondechonde, acheni Mara moja kulialia na gharama za mbolea zennye kemikali kupanda Bei, jifunze kuzalisha mbolea ya asili kwa kutumia mmea wa Comfrey na mimea mingine yenye sifa. Sisi...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wapendwa, Samahani naombeni kufahamu kama nitaweza kufungua duka la mifugo mkoani Njombe wilaya yeyote ile ila napenda zaidi iwe katika mkoa wa Njombe: 1. Je, Kuna wafugaji wa kutosha...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wengi wetu tunawajua hawa cricket make ni wale wanalia usiku, ila najua wengi hawajahi kuwaonja au hawajui kama wanaliwa. Ukweli ni kwamba radha yake ni sawa na ya senene au kumbikumbi kwa walio...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nategemea na nipo kwenye process ya kuzalisha Black soldiers fly ambao watatumika kama chakula cha mifugo ikiwemo kuku, nguruwe, samaki na vinginevyo. Pia mabaki yake yanayopatikana yatatumika...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nataka kufanya kilimo cha majani au chakula cha kulishia ng'ombe. Mbali na mahindi, naomba kujuzwa, ni majani gani naweza kulima kwa ajili ya kuyafanya malisho ya ng'ombe kipindi cha ukame?
4 Reactions
9 Replies
7K Views
Ninaomba msaada kwa wajuzi wa mambo je ni Dawa gani nzuri ya wadudu katika maharage kwa anayefahamu.
3 Reactions
10 Replies
6K Views
Ninatafuta partner. Kulima naye Pamba kwa ajili ya kuuza. Tunawekeza pamoja baadae tunatafuta soko pamoja, lakini soko lipo. Kama tutaendelea vizuri, tutaingiza mazao mengine. Nitumie whatsapp yako
1 Reactions
4 Replies
960 Views
Habari! Naomba kuuliza Ni nani kati yenu amewahi kusikia fursa ya ufugaji wa Wadudu Mende kama chakula cha mifugo yani kuku Mwenye uelewa wa hili swala naomba aeleze kwa mapana zaidi, kwa kuanzia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
INDIAN RUNNER DUCKS Indian runner ni bata wa wafugwao chimbuko Lao ni kutoka kusini mashariki mwa ASIA. Bata hawa anaweza kuwa na rangi tofaut tofout kama watakavyo onekana kwenye picha hapo...
6 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa la ufugaji, Nataka kufuga Bata wa nyama. Hivyo naomba ushauri wenu wadau ili niweze kutimiza lengo langu. Asanteni. Zaidi soma>>Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Waungwana salaam! Napenda kufahamu kwa undani kuhusu unenepeshaji wa ng'ombe. 1. Mchanganyiko wa chakula 2. Kiasi anachokula ng'ombe kwa siku 3. Nyasi ale kiasi gani au asile kabisa? 4...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Anayejua elimu/ujuzi wa ufugaji wa Nyuki, Mizinga bora,ulinaji asali na soko la asali atupe elimu. Natamani kufanya biashara hii. =========== Ericus Kimasha ..1. Naomba ufafanuzi nasikia kuna...
2 Reactions
341 Replies
170K Views
Habari za uku wakulima wenzangu naombeni msaada haswa wa Mambo mawili 1.ardhi Hivi ni njia gani mtu unaweza milikishwa ardhi ambayo no mapori bado na kuianzisha kwaajil ya kilimo 2.Masoko Ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi mtu akitaka kufuga farasi anahitaji kibali au tu unafuga tu kama unavyofuga mbuzi?
1 Reactions
14 Replies
6K Views
Nawasalimuni kwa jina la Mungu, naomba msaada kwa anaejua mahala naweza ipata dawa ya kuogeshea mifugo CYPERTOP E.C. tafadhalini maana kwa Dar nimeitafuta haipatikani kabisa natanguliza shukrani...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wana JF, Kuna hii idea ningependa kujua moja mbili tatu. Natumaini itasaidia wengi humu. Kufanya uwekezaji katika kilimo cha mpunga kwa kununua ardhi, kuanza kulima, kufanya umwagiliaji...
3 Reactions
0 Replies
1K Views
Kutokana na passion yangu ya kilimo nimeona nije kwenu wadau kuomba ushauri. Nimepata eneo ninaloishi ambalo nimewaza kufanya kilimo cha mboga mboga na matunda. Nina uzoefu kidogo cha kilimo cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wakulima na wafugaji wenzangu, kumekuwa na malalamiko mwengi siku hizi kwa wakulima wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo cha papai kwamba wanakutana na mipapai dume mingi pindi wanaponunua...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Habari za leo Ndugu wanajukwaa. Ninahitaji kampuni au mtu wa kunipa Kahawa Aa arabica ya Kilimanjaro zaidi. Ninaomba connection na muuzaji. 06247400
0 Reactions
4 Replies
984 Views
Tujadili kidogo kuhusu mbolea au virutubisho vya mimea. Kama wewe Ni mkulima mdogo, wa Kati au mkubwa utakubaliana nami kwamba changamoto kubwa hasa kwenye shughuli za kilimo Ni mbolea na madawa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom