Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

DRAFT 1 MATUMIZI Gharama zisizojirudia kila msimu 1.Shamba: Kukodi laki moja kwa ekari moja. Hapa litakodiwa hekari mbili. 2.Kisima: Gharama ya kuchimbiwa ni milioni mbili. 3.Unatakiwa kuwa na...
1 Reactions
14 Replies
5K Views
Ni wapi Tanzania kuna mfumo wa unenepeshaji mifugo (hasa wa nyama)kwa njia ya "feedlots" sijui neno sawia kwa kiswahili. Kama Kuna wadau wanazo hizo Center tusaidiane ili nijifunze jinsi ya...
4 Reactions
13 Replies
3K Views
Kumekuwa na upotoshaji kwa baadhi wa watu wanaojiita wataalamu wa ujasiriamali, hasa wanaofanya shughuli za ufugaji kwa maandiko ya whatsapp bila kuwa na hata kuku mmoja bandani. Nimesukumwa...
99 Reactions
306 Replies
167K Views
Nilipata Breed ya Kware wakubwa Jumbo kutoka nchi noja hivi, na naendelea kuwa breed kwa sasa. Mahesabu nilio piga ni kwamba Bongo kwa sasa kitoweo ni Biashara kubwa sana. Fikiria Vile visamaki...
11 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wadau wa ufugaji, Nina kuku wangu ninayempenda sana amepatwa na kaugionjwa bado sijakaelewa. Ugonjwa wenyewe ni kukimbia kimbia na kuzungua na kukosa balance na kuanguka akisimama. Hapo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari wakuu Ningependa kufahamu bei ya mashudu ya alizeti pamoja na soko la uhakika kwa hapa Dar es Salaam. Ahsante
1 Reactions
4 Replies
9K Views
FURSA YA KILIMO CHA NYOKA Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo chenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana.Sumu ya nyoka inatumika kwa...
2 Reactions
34 Replies
8K Views
Ni muda Sasa tangu nimeanza harakati za kufuatilia mbinu za kupunguza malisho ya mifugo. Kwa mengi niliyojifunza, machache nimewafunza wengine wengi. Machache hayo Ni:- 1. Hydroponics fodder 2...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Wapedwa katika bwana. Ningependa kuuliza yoyote anaekua sehemu wanayouza pumba kwa bei nzuri ya jumla hapa dar anaweza nijuza ila iwe karibu karibu na kimara suka.
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Nina shamba la migomba lkn ghafla nimeshangaa kuona mgomba mmoja uko tofauti Kwa ukuaji Na majani ya nimefatilia ktk mitandao nikaona Wana sema ugonjwa huo unaitwa (banana bunchy top disease) Sasa...
0 Reactions
2 Replies
757 Views
Daah kwa kweli siku hzi wafugaji na wakulima kuna migogoro mbalimbali hutokea Kila siku. Mifugo kula mazao ya wakulima inapelekea migogoro mbalimbali hata vifo pia. Tutafanya nin ili kupunguza...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana JF habar naomben ukweli juu ya hili swala eti nguruwe akila pilipili anakufa? Na kwanini? Pia nini kifanyike ili kumuokoa asife? Msaada tafadhali ndugu wafugaji
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wadau nahitaji kupanda miti kuzunguka eneo langu inayolua haraka, Nahitaji miti inayokwenda juu mfano Miashoki (isiwe ya kitambaa na kuhitaji pruning ya mara kwa mara). Nimewaza kununia mihashoki...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Kilimo kinafaida kama sheria zake zikizingatiwa kuna mambo usipo yazingatia kwenye kilimo basi nakuhakikishia utaambulia maumivu au hasara kitu kama ufuatiliaji kama hauna ufuatiliaji mzuri wewe...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtazamo kuhusu kilimo imepelekea watu kufanya kilimo kama kazi ya ziada au shughuli ya zaida katika kupata faida ili kuendesha maisha au naweza kusema hawachukilii serious ulimaji wao, Ni kweli...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau kama kichwa cha habari kinavojieleza, nina kama gunia 30. Naomba mwenye kujua dawa nzuri ya kuhifazia maharage anijuze kwani nahitaji kuyaweka kama miezi minne.. Najua wajuvi mnaodili ni...
1 Reactions
35 Replies
10K Views
Kilimo cha nyoka ni moja ya kilimo yenye faida sana ,mmoja anaweza akaanzisha kilimo hichi ukizingatia thamani ya "snake venom" ipo juu sana.Sumu ya nyoka inatumika kwa wingi kwenye viwanda vya...
11 Reactions
222 Replies
53K Views
Nahitaji kujua wapi naweza kupata kuku aina ya kuroiler ambapo naweza kupata vifaranga wa F1. hii ina maana huyo supplier yeye awe na Parent stock ya F0. Location iwe kati ya Morogoro, Iringa au...
0 Reactions
29 Replies
9K Views
Wanajukwaa sielewi najitaidi mara ya tatu kila nikilima unakataa mwenye utaalamu anisaidie
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Kutokana na tafiti ambazo zimefanywa na watu mbalimbali wanasayansi mbalimbali duniani (ndani ya Africa na nje ya Africa) wamekuja kugundua kuna umuhimu mkubwa sana wa mboga mboga hasa mboga mboga...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom