Tujadili kidogo kuhusu mbolea au virutubisho vya mimea.
Kama wewe Ni mkulima mdogo, wa Kati au mkubwa utakubaliana nami kwamba changamoto kubwa hasa kwenye shughuli za kilimo Ni mbolea na madawa...
Nimefikiri kitu kimoja baada ya kuona kuwepo watu wengi kutafuta partner/ mtu wa kushirikiana nae katika kilimo.
Kuna changamoto nyingi sana katika kushare biashara maana kila mtu anakuwa ana...
Makujumu makubwa ni:
1. Kuanzishwa mabwawa ya samaki kila Wilaya na kuwa na species mbalimbali
2. Kusimamia uzalishaji wa samaki kwa kuzingatia taratibu za kisayansi
3. Kutafutà masoko ya...
Habar wanajamvi,
Msaada tafadhar mbuzi wangu ameugua ghafla asubuhi ameanza kulia kisha ametoa povu mdomoni tukaona tumchinje
Baada ya kumchinja tumeona mapafu yana povu.
Msaada hizo ni dalili...
Wakuu Habari za majukumu, Natumai kazi inaendelea...
Kama kichwa cha mada kinavyojieleza ningependa kujua undani, ubora na fursa katika internships za nje ya nchi hasa nchini marekani kwa baadhi...
Habar zenu huko mliko,
-Nahitaji kujua namna ya kulima mbaazi yaani upandaji, mavuno kwa kila heka pamoja na changamoto zake.
-kiasi Cha mbegu kinacho hitajika kwa heka moja.
-Muda katika uvunaji...
1. Nitajuaje kuwa maziwa yamekuwa safi tayari kunywewa na binadamu kwa ngombe aliyezaa?
2. Yana athali gani binadamu kunywa madanga?
3. Kwanini huwa yanamwagwa ukikamua?
Habari wanaJF..
Nimejaribu kutafuta misimu ya matunda karibia site zote kwenye mitandao zinazohusiana na kilimo bila mafanikio, hatimae nimekuja hapa Jf nikiamini kabisa hapakosi wataalam na...
Habarini Wana JF
Naomba kufahamishwa juu ya mazao yanayovunwa kwa wingi mkoani Morogoro kwa mwezi March-April, pia na vijiji ambavyo mazao hayo yanapatikana kwa wingi.
Natanguliza shukrani.
Habari za zenu wadau. Nina Bustani yangu ya Nyanya ambayo sasa hivi miche ishaanza kutoa matunda lakini tatizo nililokutana nalo ni kwa baadhi ya matunda kuwa na hali kama ya kuoza au kuungua...
Watu wengi wanaamini kwamba ufugaji na haswa wa kuku unahitaji eneo kubwa sana au mabanda makubwa sana kama nyumba ili uwe na tija ,lakini ukweli ni kwamba ndani ya eneo lenye ukubwa wa robo acre...
Kuna msemo kuwa. Unakula usichozalaisha, na unazalisha usichokula!
Juzi nimeshangazwa na majibu ya Mkulima mmoja wa Dengu aloponiambia kuwa hajui dengu zinliwaje!?
Hiini baada ya mimi kumuuliza...
Napenda kutoa faida za zao la pilipili kichaa. Biashara hii imeshika kasi katika miaka hii ya hivi karibuni. Biashara hii ina pesa nyingi na wanunusi hawakopi bidhaa kwa wakulima.mauzo yake ni...
AGROCENTRE ni programu ya kilimo na ufugaji ambayo inamwezesha mtumiaji kupata masoko na na elimu kulingana na sehemu anayoishi.ni programu ya ambayo ilitengenezwa na mwanafunzi wa chuo kikuu cha...
Me ni mkazi wa morogoro mjini ningeomba mfugaji yeyote anaye fuga nguruwe hapa Morogoro mjini aje dm anipatie namba pia Kuna baadhi ya vitu nataka nifahamu kuhusu nguruweee kwakua Nina mtaji...
Nimekuwa nikisikia sifa kemkem za mmea wa Azolla kwamba unafaa sana kwa kulishia kuku, ng'ombe na samaki.
Inaelezwa kuwa una kiasi kikubwa sana cha protein, madini na vitamin. Pamoja na kuusoma...
Pokeeni salamu zangu za dhati ndugu zangu wapambanaji wenzangu na polen na majukumu ya kutwa nzima ya Leo.
*Mimi ni kijana niliyetoka katika familia duni na isiyo jiweza kiuchumi lakin Nina ndoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.