Kilimo, Ufugaji na Uvuvi

Pata Ushauri wa Jinsi ya Kujiajiri katika Kilimo, Ufugaji na Uvuvi, n.k

On JF:

Kutokana na tafiti ambazo zimefanywa na watu mbalimbali wanasayansi mbalimbali duniani (ndani ya Africa na nje ya Africa) wamekuja kugundua kuna umuhimu mkubwa sana wa mboga mboga hasa mboga mboga...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuhudumia heka 10 ya #mpunga kitaalam kabisa wastani inataka uwe na mtaji wa 10m kwa msimu. Kilimo ni fedha kilimo ni uwekezaji wa akili na muda. Usiingie kwenye kilimo cha mpunga kama huna...
2 Reactions
11 Replies
7K Views
Ngombe ana mastitis kali. Maziwa yote manne yalikuwa yameugua yanatoa maziwa almost kama yananata kama gundi ya maji. Akatibiwa kwa Gentamycin, then akaja daktari akasema ungelianza na dawa ya...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, katika kutafakari nini cha kufanya nimejikuta napata wazo hili ambalo kimsingi kwa mtu ambaye atazingatia itamsaidia. Hii ninazungumza kutokana na uzoefu nilionao katika...
5 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimekuwa mjini muda mrefu sana Nimeona kukaa mjini hailipi Napanga niende kijijini nikalime Niepukane na matozo ya serikali ambayo yanaletwa kila uchao Niko kanda ya ziwa Unanishauri nihamie...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Wakulima watalima vipi kipindi hiki mbolea ambayo tulinunua kwa elfu 60 Sasa imefikia elf 95 laki mpaka laki na ishirini. Sasa najiuliza itakuwaje kama Sasa hivi gunia la mahindi kwa eneo...
13 Reactions
60 Replies
7K Views
Habari waJF, Kwa wale wafugaji wenzangu wa mkoa wa Kagera na mikoa jirani sasa unaweza kupata mbegu za Azolla zenye ubora unaohitajika kwa bei rafiki kabisa. Tuwasiliane kupitia namba...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Napatikana Arusha, shamba liko maeneo ya Nduruma. Shamba liko full drip kwa ajili ya irrigation nahitaji mtu tutakayeingia ubia tufanye kazi ya kilimo pamoja . Tunatumia diesel kujaza maji kwenye...
6 Reactions
107 Replies
15K Views
Wakuu nina swali kuhusu utengenezaji wa mizinga ya nyuki. Mzinga in lazima utengenezwe kwa mbao au unaweza kutengenezwa pia kwa material nyingine kama plastic?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Kuna mtazamo wa watu wengi sana kuhusiana na nyuki lakini kwa kifupi nataka tujifunze mambo machache kuhusu hawa wadudu na umuhimu wao sana katika muendelezo wa jamii ya mimea mbali mbali...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Iko hivi. Ninapump maji kutoka chini yanajaa kwenye tank kubwa nililolijenga . sasa nikitaka maji yanayotoka kwenye tank kuyapeleka shambani yawe na pressure, nimeshauriwa kutafuta pump ndogo za...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama binadamu inabidi atunzwe au ajitunze kuendelea kuwa hai ndivyo hivyo hivyo ardhi inahitaji matunzo kuweza kuwa hai, uzalishaji mzuri wa mazao katika eneo lako ulilolima ni ishara ya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Mazao bora hutegemea sana kilimo bora Unapoongelea kilimo bora huwezi kuacha kuongelea uandaaji wa shamba,upandaji wa shamba na utunzaji wa shamba bora ukitaka mazao yako yawe bora zingatia sana...
1 Reactions
4 Replies
960 Views
Natarajia wakuu mko salama kabisa, Je ni sehemu gani hapa kwetu Tanzania ambapo kunaliwa karanga pori kwa wingi au wapi panaweza limwa macadamia nuts kwa wingi, yaani karanga pori, natangulia...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nimefuga Sungura kwa miezi saiz ya vitatu lakini kila wanapozaa watoto huda Mars tu wanapochangamka na hawajaonyesha dalili za mgonjwa hivi tatizo hasa ni nini mana natumia nguvu nyingi lakini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wadau! Naomba kufahamu pesa tajwa hapo juu kama inatosha kufuga mbuzi. Sins hata banda nina kiwanja tu! Maoni yenu ndiyo mafanikio yangu
3 Reactions
47 Replies
23K Views
Naomba kufahamishwa je naweza kuendelea kupiga booster ata baada ya mahindi kutoa mbelewele na je kuna madhara yeyote katika matumizi ya booster natanguliza shukurani
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wakuu, Mbwa Nilikuwa nao watatu ila cha ajabu wawili wamekufa jana kwa wakati mmoja, nimewazika leo na huyu mmoja aliebaki nae ni hivyo hata hatikisiki na hana nguvu za kusimama. Dalili zao wote...
8 Reactions
97 Replies
10K Views
Wakuu kwema? Hili zao la vanilla nimeona linapigiwa chapuo sana hasa kwenye bei yake nasikia ipo juu sana hadi kufikia usd 500 kwa kilo. Je ni kweli? Kwa wadau wanaohusika na ulimaji au wenye...
2 Reactions
39 Replies
10K Views
Back
Top Bottom