Wanabodi habari kwenu,
Naomba kusaidiwa nimetengeneza bootable flash kwenye Windows 8 nimefanya installation vizuri lakini nimejaribu Ku format flash nimeshindwa mwenye uelewa nawezaje format flash yangu?
Kama ndio hivyo tumia computer yenye Linux os yoyote kama ubuntu kufuta hayo mafile manually. kisha tumia windows piga hiyo command,the format kama kawaidaNimepiga command lakini naambiwa flash yangu storage capacity ni kubwa nimejaribu NTFS nayo imegoma labda kama kuna software ambayo inaweza kuformat.
Mkuu nimejaribu kuformat kwa kutumia Linux mint 17 inaleta SMS unable to mount locationKama ndio hivyo tumia computer yenye Linux os yoyote kama ubuntu kufuta hayo mafile manually. kisha tumia windows piga hiyo command,the format kama kawaida
Ila uki_boot, ina boot kama kawaida?Mkuu nimejaribu kuformat kwa kutumia Linux mint 17 inaleta SMS unable to mount location